Mawaziri waliotajwa ktk kashfa kufikishwa ktk vyombo vya sheria

BINARY NO

JF-Expert Member
Dec 29, 2011
2,148
2,160
"Habari zinazoongelewa ktk maofisi husika baada ya kuvuja kutoka .............. zinasema mawaziri husika waliotajwa katka kashfa wizi wa mamilioni kua watachunguzwa na kufikishwa mahakamani then jela lakini habari tata zinzsema kua hawa mawaziri km watafikishwa mahamani wameapa kuvujisha siri kua hawako pekeao kwani kuna list ndefu ya vigogo watayoiweka hadharan km wakivuliwa nguo'''
 
hakuna vigogo zaidi yao,hiko kilio chao wakakitolee mahakamani!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
"Habari zinazoongelewa ktk maofisi husika baada ya kuvuja kutoka .............. zinasema mawaziri husika waliotajwa katka kashfa wizi wa mamilioni kua watachunguzwa na kufikishwa mahakamani then jela lakini habari tata zinzsema kua hawa mawaziri km watafikishwa mahamani wameapa kuvujisha siri kua hawako pekeao kwani kuna list ndefu ya vigogo watayoiweka hadharan km wakivuliwa nguo'''
Mimi napendekeza hao mawaziri wezi wanyongwe hadharani [ publically ] ili iwe funzo na kwa wengine.
 
weweeeeeeeeeeee apo chacha ni kama ukimwaga mboga na mwaga ugali

Back
Top Bottom