Mawaziri wakuu wastaafu Lowassa na Sumaye watinga bungeni, wabunge waweka itikadi pembeni wawashangilia kwa shangwe

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,143
Mawaziri wakuu wastaafu mzee Lowassa na Sumaye leo walikuwa kivutio kikubwa pale bungeni walipohudhuria sherehe za kukabidhiwa majoho yao maspika wastaafu Msekwa, Sitta na mama Makinda.

Mara baada ya kutambulishwa na Spika Ndugai wabunge waliweka itikadi za kisiasa pembeni na kuwashangilia kwa upendo.

Ikumbukwe kuwa wastaafu hawa walikuwa Chadema kabla hawajajitengua.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Haina tija kwa mlala hoi.Bado maisha ni magumu
 
Naona na wewe uko mbioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mwendakwao, kwa vile mimi sijawahi kuwepo kisha nikahama, then ningerejea ningekuwa nimerudi, mimi naunga mkono juhudi, tena angalia tarehe ya kuanza kuunga mkono juhudi.

P
 
Mawaziri wakuu wastaafu mzee Lowassa na Sumaye leo walikuwa kivutio kikubwa pale bungeni walipohudhuria sherehe za kukabidhiwa majoho yao maspika wastaafu Msekwa, Sitta na mama Makinda.

Mara baada ya kutambulishwa na Spika Ndugai wabunge waliweka itikadi za kisiasa pembeni na kuwashangilia kwa upendo.

Ikumbukwe kuwa wastaafu hawa walikuwa Chadema kabla hawajajitengua.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Happy ni wachumia
Happy ni wachumia tumbo hawana lolote, zaidi wakekaa kutimiza malengo yao na siyo ya wananchi
 
Mawaziri wakuu wastaafu mzee Lowassa na Sumaye leo walikuwa kivutio kikubwa pale bungeni walipohudhuria sherehe za kukabidhiwa majoho yao maspika wastaafu Msekwa, Sitta na mama Makinda.

Mara baada ya kutambulishwa na Spika Ndugai wabunge waliweka itikadi za kisiasa pembeni na kuwashangilia kwa upendo.

Ikumbukwe kuwa wastaafu hawa walikuwa Chadema kabla hawajajitengua.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Tatizo umekua muongo kupita kiasi. Uongo wako unataka kumpiku mwenyeji wa Ferry mwenye nyumba ndogo Chamwino.
Hivi kupiga meza kidogo ndio kuondoa tofauti za kiitikadi? Au kushangilia kwa shangwe unataka kutupa tafsiri gani?
Nafikiria kukuweka katika orodha ya wanadamu wasioaminika JF
 
Hahahaaaa........wewe unaona kupiga meza bungeni ni swala dogo bwashee?!
 
Mawaziri wakuu wastaafu mzee Lowassa na Sumaye leo walikuwa kivutio kikubwa pale bungeni walipohudhuria sherehe za kukabidhiwa majoho yao maspika wastaafu Msekwa, Sitta na mama Makinda.

Mara baada ya kutambulishwa na Spika Ndugai wabunge waliweka itikadi za kisiasa pembeni na kuwashangilia kwa upendo.

Ikumbukwe kuwa wastaafu hawa walikuwa Chadema kabla hawajajitengua.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Kumbuka machozi yanaweza kuwa ya furaha au majonzi. Hizo kelele wakati mwingine ni kiwewe cha kupoteza matumaini, kila mtu kwa mambo yake. Huu ni mwaka wa uchaguzi presha imekwisha wafika.
 
Back
Top Bottom