Mawaziri wagongana madukani kutafuta suit za kuapishwa kesho!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Mawaziri wateule wagongana madukani kutafuta suit za kuapishwa kesho.

Chanzo-majira.
 
Zito si kawaambia hakuna sherehe?baada ya hpo yatafuata matumizi lukuki ya kupongezana,huku watz wakiendelea kutaabika na hali ngumu ya maisha,kwani siku zote hawakuwa na suti? nonsence!
 
Kweli watu wenye uchungu na hii nchi ndani ya ccm wameisha.
 
mbona tunadanganyana wandugu,maduka ya suti nchi hii yapo meeengi!iweje wagongane?sikubaliani nawe.
 
mbona tunadanganyana wandugu,maduka ya suti nchi hii yapo meeengi!iweje wagongane?sikubaliani nawe.

Ni kweli maduka yanayo uza suti ni mengi lakini kuna maduka machache yanayofahamika na wengi kwa hiyo watu kugongana humo siyo kitu cha ajabu.
 
Mawaziri wateule wagongana madukani kutafuta suit za kuapishwa kesho.

Chanzo-majira.

Dalili ya mvua ni mawingu.:couch2:
Subiri matumizi yao na ufujaji wa mali ya UMMA. Ponda mali kufa kwaja
 
Mawaziri wateule wagongana madukani kutafuta suit za kuapishwa kesho.

Chanzo-majira.

tena ingekua ni mimi ningeenda uingereza nikanunue a designer suit ya kama £2000 maana najua nikishaanza uwaziri nitakua napata £2000 kwa lisaa limoja
 
Back
Top Bottom