Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
- Thread starter
- #81
Mbona nyumbu hilo ni jina mbadala la bavicha..wewe pilipili kichaa.nyumbu wapo kazini, ni nadra watu wa ccm kusimama na CDM ktk hoja HAKUNA! na ndio maana hata Bunge live wamekataa kwani hoja za wapinzani ni kali DHIDI ya zile dhaifu za CCM. na huo ndio ukweli!