Wana JF hivi ile sera ya viongozi kutaja mali zao ni aje?
Nadhani wangeanza mmoja mmoja kutaja mali zao wiki hii ili zihakikiwe. Hi itawasaidia hapo baadaye kwani you never know.
Mnasemaje wandugu?:flypig:
mkuu usijali watataja tu, sheria ya maadili inawataka viongozi wataje mali zao ndani ya siku 30 baada ya kushika nyadhifa/madaraka. Kwa hiyo mkuu aanza kuesabu kuanzia leo baada ya hapo kajiridhishe kwa kamishna wa maadili kwa kulipia sh 1000 ujue wamejaza nini.