Mauzauza chumbani...!

DEVINE

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
536
86
Umeamka saa 11 alfajiri ,unahisi kuna mtu amelala pembeni yako unajikagua unagundua umevaa kufuli tu na si kawaida na jana yake unakumbuka ulilala pekee yako,si ivyo tu na si kawaida yako kutumia kilevi.Kwa haraka unageuka na unakumbana na mtu kumchunguza vizuri ni mwanamke/mwanaume yule uliyekuwa unatamani awe mpenzi wako,ikiwa naye pia anakufuli tu unamuamsha na kumuuliza imakuwaje? Anashtuka anajishangaa na kukujibu ajui pia amefikaje pale. Ivi itafikiria nini? Angali hapo ulipo ni chumbani kwako?
.Je utafurahi kwa kuwa ulikuwa unatamani awe mpenzi wako?
.Je utakasirika kwani umeshiriki naye penzi bila wewe kujielewa na kumchukulia hatua za kisheria?
.Je utashituka na kutoka nduki,kwani itakuwa ni ajabu mtu yule kuwepo pale?

Au wewe utaamua nini? Kumbuka yule mtu pale ni yule unayempenda sana na ulikuwa unatamani uwe naye,ila huna mazoea naye na hukuwahi kumtamkia unampenda.
 
anieleze tu alifikaje kwangu..
aliingiaje ndani na mpaka kitandani kwangu.

akisema "SIJUI" hilo si jibu.

Na we ujiulize ilikuwaje kuwaje jana ..
Je ulimkaribisha?
 
anieleze tu alifikaje kwangu..
aliingiaje ndani na mpaka kitandani kwangu.
akisema "SIJUI" hilo si jibu.
Na we ujiulize ilikuwaje kuwaje jana ..
Je ulimkaribisha?
no,hukuwahi mkaribisha na jana yake unakumbuka vizuri yakuwa ulikuwa pekee yako chumbani.
 
Kweli tunahitaji Mod afanye kazi yake!
Hizi story za kina Shigongo zina bore sana!
Is this even close to reality? What were you thinking to put such a **** here?
 
no,hukuwahi mkaribisha na jana yake unakumbuka vizuri yakuwa ulikuwa pekee yako chumbani.

namwambia hiyo tabia ya kuingia kwangu au kuja kwangu
kwa jinsi aliyo kuja siitaki kabisa yaani. sana sana chumbani kwangu sijapenda alivyofanya kwa ujumla.:spider:

Na kirudia tena sina budi kumshtaki. :(
 
Kweli tunahitaji Mod afanye kazi yake!
Hizi story za kina Shigongo zina bore sana!
Is this even close to reality? What were you thinking to put such a **** here?
Watu kama hawa huwa wanakumbwa na majini hovyo, hovyo manake akili na mawazo yao yamekaa kijini jini.

Afu siku hizi wamechachamaa kweli kuleta hadithi za shigongo humu ndani, mtu anajua hata kwa akili ya kawaida kitu kama hicho hakiwezi kutokea bado anajipinda kuandika na eti anakaa kusubiri watu wajipinde kumshauri khaaa!

Shame on him/her!
 
kama ni mkiristu kamata bibilia kama msilam shikaa kuruan anzaa kukemeaa,maana huyo atakuwaa kaja kwa njia ya mazingaumbwee kemea yawezekana jini mahabaa,maana wanaweza kujaa kwa sura za watu unazovutiwa nazo.............................
ishatokea ndo maana iko hapa.
 
Back
Top Bottom