Maumivu ya kugongwa mayai hayaelezeki Kwa Wanaume

Vito Corleone

JF-Expert Member
Apr 4, 2023
2,235
4,791
Utotoni kuna matukio yaliyosababisha nitoe machozi ila nalolikumbuka zaidi ni lile Jamaa alinipiga teke la pumbu wakati tunacheza boli. Kwa kweli hadi leo yale maumivu siwezi sahau.

Lililofanya nikumbuke na kuandika huu masala ni hii Leo wakati nasombelea mchanga somewhere nimekodi punda, huku bush ni cheaper, round ya kwanza tumeendea fresh ila second time kuna mlima punda kagoma kwenda.

Basi mwenye punda kashuka kaanza kumchimba bit Punda wake huku anamzibua, mi nkamwambia labda ananjaa.

Jamaa kumwambia hivyo ndio kama kapandisha kichaa eti oooh huyu hanijui msosi atakula nikitaka Mimi. Sasa sijui imekuje kaenda kumtandika makalio yule Punda, nlichoskia ni kishindo cha puuuuhh! ikafuatiwa na ukelele "mamaaaaaaaa" kuangalia Jamaa yupo chini, namwuliza nn hajibu lolote ni mimacho imemtoka plus machozi huku kazishikilia mbupu.

Baada ya kama dakika 5 watu wamejaa zinamwagwa pole pale ndio nkajua Kumbe Ile Punda ilimzabua teke la pumbu mshakaji, saa 11 jioni hii nimetoka kumtembelea mchizi bado haongei mpaka sasa katoa macho kama nlivyomuacha mchana.

Masela Kaeni vizuri na Punda.
 
Utotoni kuna matukio yaliyosababisha nitoe machozi ila nalolikumbuka zaidi ni lile Jamaa alinipiga teke la pumbu wakati tunacheza boli,Kwa kweli hadi leo Yale maumivu siwezi sahau.

Lililofanya nikumbuke na kuandika huu masala ni hii Leo wakati nasombelea mchanga somewhere nimekodi punda,huku bush ni cheaper,round ya kwanza tumeendea fresh ila second time kuna mlima punda kagoma kwenda.Basi mwenyepunda kashuka kaanza kumchimba bit Punda wake huku anamzibua,mi nkamwambia labda ananjaa.Jamaa kumwambia hivyo ndio kama kapandisha kichaa eti oooh huyu hanijui msosi atakula nikitaka Mimi.Sasa sijui imekuje kaenda kumtandika makalio yule Punda,nlichoskia ni kishindo cha puuuuhh!ikafuatiwa na ukelele "mamaaaaaaaa" kuangalia Jamaa yupo chini,namwuliza nn hajibu lolote ni mimacho imemtoka plus machozi huku kazishikilia mbupu.Baada ya kama dakika 5 watu wamejaa zinamwagwa pole pale ndio nkajua Kumbe Ile Punda ilimzabua teke la pumbu mshakaji,saa 11 jioni hii nimetoka kumtembelea mchizi bado haongei mpaka sas,katoa macho kama nlivyomuacha mchana.

Masela Kaeni vizuri na Punda
Hongera kwa kuanza kutaga
 
Back
Top Bottom