Jana ndio nimetoka gereza la ban nililo kuwepo for two months..walah ban inauma si mchezo..ushapigwa BAN wewe..embu tuelezee ulichokua unakimiss zaidi?? mimi nilimiss sana hapa Chit na MMU...
x habari yako?? BAN kwenye familia ya mkulu inahusika kweli?? BAN kwetu siye tu, lol!Mie sijawahi kupigwa BAN...hivi BAN ikoje? tamu eee???
babu hubby wangu, sipati picha hiyo avatar tumbo lingekuwa linacheza, lol! mbona kuntu??Dawa ni kuwa na maID kibao. Mi wakinilima BAN kwenye ID hii, naenda kuibuka na mojawapo kati ya zile tisa nilizo nazo.
x habari yako?? BAN kwenye familia ya mkulu inahusika kweli?? BAN kwetu siye tu, lol!
Dawa ni kuwa na maID kibao. Mi wakinilima BAN kwenye ID hii, naenda kuibuka na mojawapo kati ya zile tisa nilizo nazo.
BAN ndiyo nani ? Member mpya au? Ndiyo karani kaja kutuhesabu ?
Sina sababu hiyo Mamndenyi. Au ulisahau niliibuka na ID zangu nyingine mbili nikaendelea kula bata na nyie kama kawa. Kama hukunistukia basi nakuonea huruma sana...Asprin umeshasahau ulivyopigwa ile ya mwisho wa mwezi wa saba
ukawa unamwamkia kila mwana jf shikamoo,
sema tu ukweli.
Mie sijawahi kupigwa BAN...hivi BAN ikoje? tamu eee???
Nenda jukwaa la siasa nafikiri ban zote hutokea huko.
Nani aende huko akabishane na wakongwe wa siasa kama mwana kijiji
Jukwaa la siasa full stress,nilipigwa BAN ya mwezi mmoja instantly! Mods wanashinda kule,Ban inakera
umeniwahi mkaliwakitaa...
leo ndio nilitaka nianzishe sred yakuulizia BAN zimeenda wapi siku hizi...?
au watu wamekua na nidhamu sana?
kumbe mkuu ulikua kizuizini...pole
naitamani na mimi...nifanyeje niipate...
Nenda jukwaa la siasa nafikiri ban zote hutokea huko.