Amosam
Senior Member
- Jan 15, 2009
- 154
- 5
Kuna jamaa yangu anaomba msaada wa ushauri kimatibabu kwani anasumbuliwa na maumivu katika eneo la shingo ya uume wake.
Tatizo hilo amekuwa nalo kwa zaidi ya miaka saba sasa kwani ameshakwenda katika hospitali nyingi kupata matibabu lakini bado hajapona.
Baadhi ya madakitari walipompima walimwambia ana mchubuko ndani ya urethra na wakampatia dawa za antibiotic lakini pamoja na matibabu hayo bado hakupata nafuu.
Akaenda kwa madakitari wengine wakamwambia ana tatizo la ugonjwa wa zinaa hali iliyomfanya achanganyikiwe kwani kwa tabia yake na ya mkewe hakutarajia kitu kama hicho kutokea(hawa jamaa ni walokole wa hali ya juu).
Yeye pamoja na mkewe wakapatiwa matibabu(sindano za penadol)-ziliwatesa sana kwa uchungu,pamoja na tiba hizo bado jamaa anaendele kusumbuliwa na tatizo hilo.
Akaenda hospitali nyingine akaambiwa ni mchubuko tuu unaomsumbua kwani wakapimwa yeye na mkewe magonjwa yote ya zinaa hawakukutwa nayo,akapatiwa tiba ya antibiotic tena lakini bado jamaa anasumbuliwa.
Kuna wakati anaweza akawa fiti karibu wiki nzima lakini baadae hali hiyo hujirudia.
Wana JF wenzangu wenye utaalamu wa magonjwa na matibabu naomba msaada wenu wa ushauri ili huyu jamaa yangu aweze kutibiwa na kupata nafuu.
Nawakilisaha.