Maulid Kitenge aanza kufunga comments kwenye posts zake huko X(Twitter), spana zimezidi

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,448
16,314
Screenshot_2023-08-22-22-46-36-612_com.twitter.android-edit.jpg

Mwandishi wa habari anayeogopa maoni ya followers wake atawezaje kutoa maoni au kuhabarisha jamii bila kuwa na double standard?

Mwandishi wa habari anayefanyia "Censorship" posts zake kwa hakika atazipa kipaumbele habari ambazo ziko censored tuu, kamwe hatakuwa fair kwenye kuihabarisha jamii.
 
View attachment 2725678

Kitenge ni Shoga achana naye hana tofauti na akina mwijaku na steve nyerere.
 
Vijana mnataka uhuru wa kutukana au kutoa maoni bila matusi? Mnachanganya matusi na ukosoaji. Sasa comments 100 utakuta chache mno zimeandikwa kistaarabu hata kama kuna ukosoaji. Zingine ni matusi matupu
 
Spana zimetembea mpaka akona eheeeeh isiwe tabuu
Na hapo bado tunaomjua vyema hatujasema Mkasa wake wa Kukimbiwa na Mke na Kuachiwa Mtoto ( Bintiye ) huko Kwake Masaki Slip Way na anachokifanya na kufanyiwa huko Ughaibuni ( hasa Marekani na hata UAE ) anakoenda.
 
Na wangejua kile ambacho huwa anafanyiwa huko Marekani anakoenda na alivyokuwa akifanyiwa na Tajiri wa zamani wa Kampuni ya Mafuta ya TIOT ambaye pia alikuwa ni Mmiliki wa Klabu ya Moro United FC wangemdharau mara Trilioni.
Kwa hiyo siyo kweli kwamba USA huwa anaenda kumuona mwanaye wa kumzaa?
 
Na wangejua kile ambacho huwa anafanyiwa huko Marekani anakoenda na alivyokuwa akifanyiwa na Tajiri wa zamani wa Kampuni ya Mafuta ya TIOT ambaye pia alikuwa ni Mmiliki wa Klabu ya Moro United FC wangemdharau mara Trilioni.
Wengi wanajua ila hizo taarifa zimeshakuwa COMMON sana ndiomana watu hawashangai now days. Ila huyu jamaa Kitenge ni fala sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom