Mauaji ya Karume 1972: Je, muuaji aliwahi kukamatwa na kushitakiwa?

Wala Karume hakuwa jemadari wa mapinduzi yale, majemadari walikuwa wawili: John Okelo na Abdulrahaman Mohamed Babu.

Huyu alikabidhiwa uongozi kwa vile tayari alikuwa ni Rais wa Afro Shiraz Party. Kwanza hata siku yenyewe ya Mapinduzi alikuwa Dar es Salaam.
Okelli yes, Babu no!
 
Okelli yes, Babu no!
Hivi unajua kuwa by 1964 tayari Babu alikuwa ni Komandoo aliyekuwa amehitimu Havana ya Fidel!!? Kama hujui kaa kimya.

Mapinduzi yale yaliongozwa na UMMA Party chini Babu akimshirikisha John Okelo, na Karume alipewa heshima tu kama kiongozi mkuu wa Chama kikubwa chau upinzani ili kuyafanya yaungwe mkono na wengi.
 
Hivi unajua kuwa by 1964 tayari Babu alikuwa ni Komandoo aliyekuwa amehitimu Havana ya Fidel!!? Kama hujui kaa kimya
Mapinduzi yale yaliongozwa na UMMA Party chini Babu akimshirikisha John Okelo, na Karume alipewa heshima tu kama kiongozi mkuu wa Chama kikubwa chau upinzani ili kuyafanya yaungwe mkono na wengi.
Wapige kamba wadogo na machalii wenzio.
UMMA Party kilikuwa kikundi kidogo cha akina Babu, basically cha waarabu radical.

Mapinduzi yale yalipangwa na wakulima, wakwezi na wapagazi ambao ndio walikuwa wengi.
Wengi hao walikuwa si wasomi.

Kina Abdalla Natepe, Ramadhani Haji Fakhi , Brigadier Himid wa kikosi cha Nyuki na waafrika wengine.

Wengi wao walikuwa dockworkers. Okello alikuwa kiungo mzuri kama "mnyamwezi" ~kundi la wakwezi na waoagazi. Alisaidia kuunda jeshi la waafrika zaidi ya 800 kushambulia waarabu~watawala.

Kuonyesha kwamba historia yako ni finyu, UMMA Party kilikuwa chama cha waarabu, split away kutoka ZNP, moja ya vyama viwili vya waarabu, kingine kikiwa ZPPP.

MSINGI wa mapinduzi kama hujui mkuu ni ubaguzi uliokithiri.

Ile tarehe 12 January Karume na Babu hawakuhusika moja kwa moja.
Karume alipelekwa Dar es salaam na Babu alikuwa hajulikani alipo.

Picha za awali kabisa zilimwonyesha "Field Narshal" John Okello, aliyekuwa kibarua bandarini.

Basic conflict kama huelewi vile vile, ni Africans versus Arabs, period.
 
Jidu La Mabambasi, Hivi ndivyo CCM inavyotaka watu waamini. Unaeleza ukweli nusu: Je, John Okelo alikuwa "Mnyamwezi?"

Je, kwa asili Washirazi ni Waarabu? Kwa Nini Karume afichwe Dar badalaya kuwa kwenye uwanja wa mapambano!!? Na mwisho Abdulrahaman Mohamed Babu alijificha wapi kwa mujibu wako wewe?
 
Hivi ndivyo CCM inavyotaka watu waamini. Unaeleza ukweli nusu: Je, John Okelo alikuwa "Mnyamwezi?"
Je, kwa asili Washirazi ni Waarabu?
Kwa Nini Karume afichwe Dar badalaya kuwa kwenye uwanja wa mapambano!!? Na mwisho Abdulrahaman Mohamed Babu alijificha wapi kwa mujibu wako wewe?
Mapimbi ninyi,
mimi nimekaa Zanzibar na Pemba.
Nimewaona hao watu sikuhadithiwa.
Kwa vile huwajui Wazanzibari hata "Wanyamwezi" hujui wanamaanisha nini.
 
Nimeona mahojiano Azam UTV-Habari, wakimuhoji aliyekuwa dereva wa Mzee Karume na aliyempiga risasi muuaji wa Mzee Karume kwa kweli ni shujaa sana Serikali ya Zanzibar naiomba imkumbuke sana Mzee huyu maana anaonekana pia ana maisha magumu sana licha ya kuitumikia Nchi kwa moyo wa kijasiri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi niliona hayo mahojiano AZAM UTV huyo mzee akielezea kilichotokea huku kwenye screen kwa chini kukiwa na maandishi yaliyotulia yakisema "dereva wa Karume aliyemuua muuaji wa Karume...."

Kama hayo maelezo yake ni kweli na siyo kutafuta tu sifa basi ni yeye alimuua huyo muuaji. Hata hivyo inashangaza kama ni kweli ndiye alimuua huyo muuaji serikali zote zilizopita hadi ya mtoto wa Karume aliyeuawa nae asimjali mtu aliyemuua muuaji wa baba yake maana huyo mzee anaonekana anaishi maisha duni mno.
 
Kwann matukio kama haya hayawekwi nje watu wajue mfano mwingine Lt col Shimanyi baada ya vita vya kagera ...
 
Okelli yes, Babu no!
In fact Kamanda alikuwa ni Okelo akisaidiwa na Abdallah Natepe na Yusuf Himid.

Nakumbuka karume aliuwawa siku ya Ijumaa kuu mwaka huo wa 1972 tukiwa tumetoka kwenye msiba wa Dr. Kreluu kuuwawa siku ya Krismas mwaka 1971. Aliuwawa na askari ambaye naye aliuwawa papopao on the spot na mlinzi wa Karume.

Ila sasa uchunguzi ulipofanyika ikaonekana kama kuna wanasiasa wengi waliohusishwa na njama zile kwa namna moja au nyingine. Prof. Babu na Col.

Mahafudh ni kati ya victims wa uchunguzi ule, ingawa Nyerere hakuwaadhibu kivile kwa vile wao walikuwa watumishi wa serikali yake wakati huo.

Prof Babu
1586677402599.png


Kanali Mahfudh
1586677267950.png
 
Hii kesi haina umuhim tena maana hata huyo alietuma (master mind) kuuliwa kwa Karume naye ni marehemu. Siku kama ya leo ni vyema kukumbuka kauli za marehemu Karume " Muungano ni kama koti likikubana unaweza kulivua"
Mastermind alikuwa nani? Usiwe unaleta hisia zako hapa, Mungu abakuona! Umeambiwa aliuawa kwa kisasi cha mtoto mtu!
 
Huwa wanasubiri kura za maoni huko ccm ndio wanaanza kusingiziana ,usisahau SalimAhmed Salim 2005 wakati wa kura za maoni kugombea urais CCM alisingiziwa kuwa yeye ndio alimuua Karume.
Huwa nacheka sana nikitafakari kuhusu zanzibar, ikatokea ijitenge na Tanganyika, sidhani kama patakalika! Maana mawazo na akili za wanasiasa wake inafikirisha saana!
 
Dunia kweli hadaa na ulimwengu shujaa "Unatuma watu auliwe mtu, then unachukua kidogo chake kitu, mwisho wa siku na wewe mwenyewe unakufa" Ndivyo ilivyokuwa. Then muuaji alifariki pale pale eneo la tukio maana nayeye aliuliwa na dereva wa kiongozi aliyeuwawa.

e͕̓́s̤̓͝t̫͒̀-̭̅͝c͇ͬ̀e͎͂͞ ̡̘̔q̨̜̾u͙͂͢ẽ̷̯ ̣͆͜ṭ̡̈́u̶̖̾ ̯̈́͞m̡͕̄'̖̄̕a͉͆͘i̧͕͆m̛͎ͫĕ̸͍sͮ͟ͅ?
 
Mastermind alikuwa nani? Usiwe unaleta hisia zako hapa, Mungu abakuona! Umeambiwa aliuawa kwa kisasi cha mtoto mtu!
Hakuna umuhimu tena wa kujuwa mastermind naye ni marehem pia. Tukumbuke kauli tu mkuu. Usipanic mastermind anajuulikana na sababu yake ilikuwa ni nini is well known.
 
Back
Top Bottom