mauaji songea,Kama madaktari wamethibitisha,na wahusika wamekamatwa,sasa tume ya nini

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
IGP MWEMA ameunda tume ya kuchunguza mauaji ya raia yaliyofanywa na police kwa ajiri ya nini?????????maana madaktari wameshathibitisha kwamba watanzania hao wameuawa kwa risasi,na tayari police hao4 wauwaji wamekamatwa,sasa tume ya nini??
Si ni bora kesi hiyo wampe yule PILATO aliyetoa hukumu ya SAMAKI wa magufuri jana?
 
polisi eti wanajikamata
wanajichunguza
wanajiandikia mashtaka
inawezekana kweli?
 
Back
Top Bottom