TUNTEMEKE
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 4,587
- 579
Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, Mh.Mwigulu Lameck Nchemba amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro kuunda timu ya kuchunguza vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa wanasiasa ikiwemo mauaji yaliyotokea Kinondoni Jijini Dar es salaam.
Waziri Nchemba ametoa maagizo hayo akiwa Mkoani Kagera Wilaya ya Muleba katika Kata ya Kasindaga wakati wa uzinduzi wa uandikishaji wa vitambulisho vya Taifa Mkoani humo
Waziri Dtk. Mwigulu amelitaka Jeshi la Polisi kuchunguza kwa kina tukio hilo na kujua undani wake nini na kuwaambia Wananchi nini kinachoendelea dhidi ya mauaji hayo na mengine ambayo yamekuwa yakiripotiwa.
Mataifa mengine mtu akiuwawa shighuli zote zinasimama, tusiweke haya mazoea ya watu wanapotepotea kama mtu kapuliza dawa ya mbu kama jambo la kawaida tu, wafanye uchunguzi kwa kina kujua nani amehusika na tukio hili. Alisema Waziri Mwigulu
Ameongeza kusema kuwa maswala ya demkrasia huamukiwa kwa peni na karatasi na si kwa panga,lungu wala mkuki.