AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,658
- 2,804
sawa kwa maana hiyo,lakini kwa mtazamo wangu yupo sahihi kuanza na yale anayoyafikiri kwa haraka na kuona kuwa kuna tija na umuhimu wa kuyafanyia kazi,sina maana kuwa elimu na hayo mengine asiyatazame la hasha ila kuna yale ambayo anaona kama kiongozi yanfaa kuanza kutiliwa mkazo,na uzuri ni kwamba bado anamuda wa kutosha so nivema tukampima katika miaka mitano hii ya kwanza alafu ndo ingekuwa busara kwa hapo baadaye kuja kutoa tathimini za namna hiiSoma vizuri utajua sijapinga chochote
mimi naonesha tu matumizi yake
na nalinganisha na kwingine...