Matumizi ya fedha nje ya budget ni ufisadi, tuache kupindisha maneno

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,389
285
Hakuna kumung'unya maneno,kama kweli maneno ya m/kiti wa PAC ndivyo yalivyo,ya kutumia fedha nje ya budget iliyopitishwa na bunge ni UFISADI MKUBWA ambao mh.CHEYO alitakiwa kuwa mkali mithili ya DrSLAA aliyejuruhiwa,kifupi kamati yote ya PAC ilitakiwa ijiuzuru.NADHANI KAMATI HII ANGEPEWA MTU WA CDM
 
sijui chaguzi ndogo zimetugharimu na zitaendelea kutugharimu kiasi gani?
 
Hakuna kumung'unya maneno,kama kweli maneno ya m/kiti wa PAC ndivyo yalivyo,ya kutumia fedha nje ya budget iliyopitishwa na bunge ni UFISADI MKUBWA ambao mh.CHEYO alitakiwa kuwa mkali mithili ya DrSLAA aliyejuruhiwa,kifupi kamati yote ya PAC ilitakiwa ijiuzuru.NADHANI KAMATI HII ANGEPEWA MTU WA CDM
Kwani Tanzania kuna bajeti? Serekali na Bunge vyote vinafanya usanii tu. Hata wabunge wanajua fika kuwa wanachopitisha huwa ni usanii, maana at the end of the day fedha zenyewe hazipatikani. Na hicho unachosikia kutumia fedha nje ya bajeti ni usanii mwingine. Wabunge na Serikali woote hawaishi maziongaombwe. Siku imeingia.
 
Hakuna kumung'unya maneno,kama kweli maneno ya m/kiti wa PAC ndivyo yalivyo,ya kutumia fedha nje ya budget iliyopitishwa na bunge ni UFISADI MKUBWA ambao mh.CHEYO alitakiwa kuwa mkali mithili ya DrSLAA aliyejuruhiwa,kifupi kamati yote ya PAC ilitakiwa ijiuzuru.NADHANI KAMATI HII ANGEPEWA MTU WA CDM
naomba tufafanulie Cheyo kasema nini?.
 
naomba tufafanulie Cheyo kasema nini?.

Great thinker nakushauri uwe unatembelea vyombo vya habari,anyway Mh.cheyo aka m/kiti wa PAC amesema serikali hutumia fedha nyingi kinyume na fedha ya bajeti iliyopitishwa na bunge.Nadhani umeelewa great thinker.source:ITV HABARI SAA2 USIKU JANA
 
Bajeti ni kisio linalotokana na data ulizonazo wakati unapanga hiyo bajeti na daima ni vigumu kuona hali halisi itakuwaje huko mbele kwa hiyo matumizi halisi kuwa tofauti na bajeti sio lazima iwe inatokana na ufisadi.
 
Back
Top Bottom