Huwa NACHUKIA na utanuaji barabarani na hasa unapojikuta umekaa kwenye QUE muda mrefu then unaona magari ya serikali na wakubwa yanapita njia ambazo haziruhusiwi bila kusimamishwa na wakati mwingine Askari uwaongoza watu kuvunja sheria za barabarani kwa kuwa wamepewa lift! ANGALIA HIZI ATTACHMENT ZA LEO ASUBUHI BARABARA YA KAWE-MBEZI CHINI karibia na keep-left ya CLOUDS FM