Matumizi mabaya ya mali ya umma

roy allan

Member
Jul 16, 2012
69
12
Kuna huyu kiongozi anayeongoza ofisi moja ya umma mkoani ruvuma wilaya ya mbinga huyu c muadilifu kwa kutumia mali ya umma vibaya gari ya ofisi anaitumia kwenda nayo shamba kwa matumizi binafsi na kwa safari hzohzo ndyo alisababisha ikahanguka huko akasaidiwa mambo ya katulia pia amejipangia muda wake wa kazi ikifka saa 7 yy mwisho kutoa huduma je ndyo utaratbu wa serikali?kazi yake yy ni majungu tu mkoani wenzake walevi,mambo kibao yy kwa rushwa namba moja mumtazame huyu anaharbu utendaji wa umma
 
Sasa wewe mbona unaogopa kivuli chako?? Unashindwa hata kuitaja ni ofisi gani hiyo ya serikali, haya anaitwa nani? anafanya kazi gani zinazowahusu wananchi? Na gari gani anatumia kwa safari hizo binafsi?

Funguka bana, muda wa ukombozi ndio huu..acha uwoga, usije ukaonekana ni unafki tu unatuletea hapa!!
 
Back
Top Bottom