KAWETELE
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 682
- 1,612
serikali ya awamu ya 5, imejikita katika kuhakikisha tunalipa kodi. hatukatai lakini inauma pale kodi zinapotumika kwa manufaa ya chama.
waandishi wa TBC leo kazi moja kujikomba. inatosha kwa vyombo vya umma kusifia serikali ya CCM lakini siyo kuegemea mno kwenye chama hicho.
shughuli ya leo ni ya chama siyo ya serikali.
nb. nipo ugenini nashindwa hata kuwaambia wenyeji wangu wabadili chanel. wao ni wanazi wa CCM.