FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
Inabidi tuanze kampeni za Nyumba kwa nyumba kuiondoa CCM na Uozo wake wote madarakani
wamegusa Pabaya sana
wamegusa Pabaya sana
Huko sahihi kitu cha kwanza ni kuwaondoa madarakani hawa viongozi wa vyama vya wafanyakazi kwani wangekuwa makini serikali isingechezea wafanyakazi wa Tanzania tuwaige wenzetu wa Afrika kusini kama wanaanza kugoma wa migodi inabidi sekta zote zigome mpaka kielewekeKulalama lalama tuu hakusaidii!
Sijui wafanyakazi tunangoja nini kuingia mabarabarani?
Kama kuna mtu yoyote anayefikiria hii sirikali ya wamagamba inaweza kulirudisha fao la kujitoa kirahisi rahisi mtu huyo atakuwa mweu!
Ukiona hivyo ujue hazipo. wanatafuta sababu miaka 60 kwa muafrika haina uhakika.Kwa kweli inasikitisha! hivi ni kwa nini mswada huu unakuwa na matatizo? au ni kimradi cha mtu?
Mbona mr. Dhaifu alishasema hataki kura za mbayuwai, mulitaka afanye nn tena kuthibitisha kauli yake hiyo?Walicheza na madr na walimu sasa wamekuja kwa wafanyakazi ivi hawajui kundi la wafanyakazi ni kubwa ambamo walimu na madr ni kama subset tuu
Naona Serikali ina hamu na machafuko
Kulalama lalama tuu hakusaidii!
Sijui wafanyakazi tunangoja nini kuingia mabarabarani?
Kama kuna mtu yoyote anayefikiria hii sirikali ya wamagamba inaweza kulirudisha fao la kujitoa kirahisi rahisi mtu huyo atakuwa mweu!
the conquirer mimi niliacha ajira rasmi Desemba 2005 na kuamua kujiajiri; pamoja na uamuzi huo niliamua kuendelea kuchangia akiba yangu ya UZEENI. Kwa nini unafikiri mtu akiacha kazi angali bado kijana apewe kile alichokwisha kuchangia? Uzee utakapofika na hana tena nguvu ndiposa mtakuja na hoja kwamba serikali haiwajali watu wake?.
Bado naona kuna ahaja ya kulinda haki za Watanzania za miaka ijayo badala ya mtindo mnaotaka wa PONDA MALI KUFA KWAJA.

nadhan wafanyakazi wote tunajua haki yetu haitapatikana bungeni bali kwenye sanduku la kura uchaguzi ujao!