Matukio ya picha ya kizembe yaliyotokea bungeni 2011

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
263718_182462908481917_100001546267485_425720_1787197_n.jpg
270366_2034382311945_1615806745_1967168_2890452_n.jpg
271136_10150279463127938_709232937_9083714_6749742_n.jpg
View attachment 44052
375334_10150405673868069_599863068_8397778_1647196187_n.jpg
Hivi posho wanapewa ile ile ama kunakuwa na posho?
Alafu wengi ni wale wa chama chetu cha uzembe kila kukicha
 
ukifuatilia hapo wote ni wagonjwa, wamezeeka au wanawanga usiku ili kutumiza masharti ya waganga wao kienyeji
 
Hivi mlikuwa hamjui? wanaliombea bunge letu na chama cha magamba ili wapate akilli ya kupambana na hoja moto za CDM.
 
Waandishi ni nomaaa eti wanaandika Mh. Flan akifatilia kwa makini muswada huku mh kalala usingizi wa kutosha haaaaaaaaa,hv hapo kwa mrema ni udenda kweli au wame-add tu huo udenda?
 
nchi ya kitu kidogo ndo chanzo cha kupatikana wawakilishi feki kama hawa,Mungu waadhibu na kuwaaibisha upendavyo tena siku si nying zijazo maana wako kwa maslah yao na chama chao si kama masilahi ya nchi yetu.Mbuge analala bungenu akishtuka anapiga makofi bila kujali kama waziri anaongea point au ni pumba.
 
Hao ndo wabunge makini wa CCM, wako Bungeni wanafanya walichotumwa na wapiga kura wao.
 
Kinachosikitisha sana, pamoja na images hizi na zile za kushangilia wengine wakitoka bungeni ndizo zilizokua chachu ya kuongeza posho kwa wabunge.... na bila hiyana, baadhi ya wabunge vijana wenye akili wananozijua wenyewe wakawa bize wanajifia kwamba wamefanya kazi sana posho kuongezwa na vitu kama hivyo

Sidhani kama wanafahamu kwamba images kama hizi, maneno yasiyo na kichwa wala miguu na maisha yao ya juu sana kulinganisha na waliowachagua ni mbegu kali sana ya chuki hasa ukizingatia kwamba ni wabunge wachache sana walio bungeni kuwakilisha wananchi wa majimbo yao.....

Kwakweli wanatia kichefuchefu.... hasa ukiangalia mauombo yao yalivyo makubwa, wanavaa maguo mazito-mazito na kulala bungeni... can you imagine wanatengeneza hewa za aina gani mule bungeni, and then just after that, wanakwenda kukinga kusaini

VERY PAINFUL
 
Wasilale wana shida gani? Mshiko wao upo palepale, wawe macho au walale bungenii, na wengi bado 2015 tutawachagua tena. Posho yao ndo kwanza wanaongezewa. Pesheni yao ndiyo hiyo tena. Karibia wote weshakuwa wafanyabiashara na mishen town mungu awape nini tena?
 
Back
Top Bottom