Matokeo ya utafiti CHADEMA ina nafasi kubwa kushinda kata ya Vijibweni Kigamboni, Dar es Salaam

kwa kukumbusha tu: Gazeti la mwananchi lilikusanya kura za maoni kipindi cha uchaguzi kuuliza nani anafaa kuwa rais, slaa aliongoza kwa zaidi ya 67%, ukibase argument yako kwa tafiti kama ile unakuwa uko far from reality kwa kuwa gazeti hili linafahamika habari zake sio independent kwa hiyo lazima na wapenzi wake sio neutral. In return hali ikawa tofauti.

Ni hayo tu!
Nani alikuambia hakupata hizo percentage NEC hadi leo hawataki kuonyesha the actual results.
 
Mkuu utafiti ulifanywa kwa jinsi ambavyo aweda amefanya huko vijibweni? Basi kama ni hivyo haukuwa na mashiko. Siamini kama ulikuwa wa aina hii!

Kimbunga,
Mkuu unataka kutuambia kwamba waliopiga kura za maoni katika mtandao wa gazeti la mwananchi ni wanachadema pekee?
Ama unaamini kwamba Kikwete alimshinda Dr. Slaa kwahiyo unayaamini matokeo yaliyotangazwa na NEC ya Kiravu na Makame!?
 
Mkuu hapa hakukuwa na utafiti uwao wote kwa std hata za chini kabisa za utafiti. Reliability yake ni almost zero. Angesema kwamba ni maoni yake mimi ningekubali ila hili la kuchukua maneno yake na kuwawekea watu kinywani siyakubali.
Pamoja na hayo wakuu hii pia inaonyesha aina ya tafiti tunazozifanya hasa vyuoni hapa nchini. Mtu anakaa chini anajitungia napeleka kwa msimamizi naye anabariki. Matokeo yake ndiyo haya sasa! Simlaumu Aweda nalaumu system yetu kuanzia tafiti za wanafunzi huko vyuoni ambazo asilimia 99 ni za kupika.

Mkuu umefika kigamboni kuhakikisha kwamba hakuna utafiti wowote uliofanyika huko?
Katika hali ya kawaida unaamini kwamba kiongozi wa Chadema anaweza kuja hapa kuandika jambo ambalo halijafanyika?
Je umejiuliza kama mbunge Filipa Mturano anaweza kukubali kutajwa kushiriki utafiti 'hewa'?
Unaweza ukawa na hoja ya udhaifu wa namna utafiti ulivyofanywa lakini huwezi kuthibitisha kwamba Aweda amejitengenezea utafiti wake mwenyewe.
 
Kimbunga,
Mkuu unataka kutuambia kwamba waliopiga kura za maoni katika mtandao wa gazeti la mwananchi ni wanachadema pekee?
Ama unaamini kwamba Kikwete alimshinda Dr. Slaa kwahiyo unayaamini matokeo yaliyotangazwa na NEC ya Kiravu na Makame!?
Mkuu Mwita naomba unisome vizuri na uangalie nilichokuwa najibu. Kuna jamaa amekuja tu akatoa hoja ya utafiti wa uchaguzi. Mimi nimesema kama utafiti ulifanywa kwa jinsi ambavyo Aweda amefanya huu basi huo utafiti haukuwa na mashiko. Nikaenda mbele nikasema siamini kama utafiti ulifanywa kwa njia kama ya Aweda. Sijasema kuhusu NEC na Slaa. Mkuu nihukumu kwa kuupinga utafiti huu wa Aweda ambao upo kwenye thread hii. Kwa kinywa kipana kabisa naupinga. Huo wa mwananchi sijauongelea.
 
Mkuu umefika kigamboni kuhakikisha kwamba hakuna utafiti wowote uliofanyika huko?
Katika hali ya kawaida unaamini kwamba kiongozi wa Chadema anaweza kuja hapa kuandika jambo ambalo halijafanyika?
Je umejiuliza kama mbunge Filipa Mturano anaweza kukubali kutajwa kushiriki utafiti 'hewa'?
Unaweza ukawa na hoja ya udhaifu wa namna utafiti ulivyofanywa lakini huwezi kuthibitisha kwamba Aweda amejitengenezea utafiti wake mwenyewe.
Mkuu mwita presentation ya Aweda ndio imenifanya niseme hivyo. Hatuwezi kuwepo wote kwenye utafiti ila ukipata abstract ya research unaweza kuona kama kuna substance. Huwezi kusema kwamba kutakuwa na ushindi wa 70% bila kusema umepataje hiyo percentage; unaficha nini? Kwani unataja majina si unataja tu idadi ya waliohojiwa ama dodoso na kusema ni wangapi wamesema ndio ama la. Kusema kweli mimi bado sikubaliani na hiki kilichosemwa. Hata kama kulikuwa na utafiti basi haukuwa utafiti wa kisayansi kitu ambacho kinaufanya huo utafiti kutokuwa utafiti kamwe.
 
Kimbunga

Hiyo aliyotoa Aweda ni summary tu ya research hawezi akaonyesha kila kitu kwenye summary hata abstract haiwezi kuonyesha methodology wala details zozote ila inakupa definition ya subject matter (study) na final result (in figures if applicable) tu kama alivyofanya Aweda kuwa CDM itashinda kwa 70%. Sielewi unataka nini unaposema amepataje hiyo percentage unataka methodology yake au formula aliyotumia. Hata hivyo huwezi ukamwaga kila kitu humu.
 
Shukurani mkuu. Ila nimeona kwenye suala la dini kama amezama kidogo!
 
Inaruhusiwa kujifariji!!!! IGUNGA,UZINI na sasa VIJIBWENI na ARUMERU
 
Shukurani mkuu. Ila nimeona kwenye suala la dini kama amezama kidogo!
Ni kweli mkuu repoti yake hakuibalance imeonesha kama target kubwa ilikuwa ni kujua waislamu wangapi watakichagua CDM badala ya wananchi wangapi watakichagua. Inawezekana ni namna ya utoaji taarifa tu humu lakini report kamili ina kila kitu.
 
Safi makamanda tupo pamoja ktk ukombozi wa Mtanzania kutoka kwa wanyang'anyaji CCM.
 
Ni kweli mkuu repoti yake hakuibalance imeonesha kama target kubwa ilikuwa ni kujua waislamu wangapi watakichagua CDM badala ya wananchi wangapi watakichagua. Inawezekana ni namna ya utoaji taarifa tu humu lakini report kamili ina kila kitu.

Inaonyesha wakristo wote wataipigia kura chadema kwa mujibu wa utafiti huu..je ni kusema cdm ni cha wakristo zaidi??

Mimi naona aweda na kundi lake wanaendekeza UDINI (ukristo wao)..namfahamu aweda ni mdini sana ..sawa na ndugu yake slaa
 
Hilo swali sijui kabisa muulize Jussa inawezekana anazo data.
 
Nitamuuliza Aweda a.k.a mtoto wa slaa...

Mtafiti mkuu wa chadema...(feasibility studies zitamtoa) jamaa yangu kutoka mbulu..oops
Mkuu ina maana Aweda ana chso kingine zaidi ya uenyekiti wa ukonga na ujimbe ulioko kwenye signature yake?
 
Inavyoonekana uko kwenye fungu la kupata huko chadema..kwa aina hii ya feasibility stadi unakamata 10mil....

Eti wanahoji waislamu, halafu wana conclude kwamba wakristo wote watawapigia kura ..lol
 
Ndg yangu topical, kwa bahati nzuri mimi ndiyo mgombea wa chadema, nimeona ume mshambulia sana aweda, hebu tujipe muda hadi april, siku njema, mungu ibariki tanzania
 
Mkuu Mwita Isaya kila la kheri. Siijui vizuri vijibweni lakini kama ndani yake kuna Gezaulole basi utashinda lakini si kwa sababu kuwa utapigiwa kura na waislamu bali kura zako nyingi zitatoka Geza kwa wakulima wa viazi: Wasimbiti na wengine kama hao. Nadhani imenipata.
 
Inavyoonekana uko kwenye fungu la kupata huko chadema..kwa aina hii ya feasibility stadi unakamata 10mil....

Eti wanahoji waislamu, halafu wana conclude kwamba wakristo wote watawapigia kura ..lol
Hebu hizi fikra za ajabu ajabu ni nini hatima yake? Mtu hajui kinachoendelea ila ameshajua ni sh ngapi zimetumika, tuna kila sababu ya kufikiri kabla ya kuandika au kuchangia mawazo yetu, karibu kigamboni tulikomboe taifa letu, njooni na michango yenu ili tuweze hata kununua mafuta ya magari ktk campaign, karibuni ndg zangu mnisuport, hasa wale wapiganaji tunakaribisha
Hebu haya mawazo ya kufiki
 
Inavyoonekana uko kwenye fungu la kupata huko chadema..kwa aina hii ya feasibility stadi unakamata 10mil....

Eti wanahoji waislamu, halafu wana conclude kwamba wakristo wote watawapigia kura ..lol

Kwa hiyo huo utafiti wake unaonyesha wakiristu wote ni Chadema wasiwasi wake mkubwa ulikuwa kwa Waislam kama wataipigia kura Chadema. Hizo tafiti zingine zinashangaza kweli.
 
Mkuu sisi tunaagalia athari za udini uliopandikizwa na ccm baada ya kubanwa ktk uchaguzi wa 2010, kwamba wasichague chadema ni ya wakristo. Tumegundua kuwa waislamu wanaakili, wamepuuza propaganda za ccm. wataangalia sera ya mgombea, udini umekwama.
 
Back
Top Bottom