Matokeo ya sensa

gerald daniel

Member
Jan 6, 2012
8
1
Matokeo yaliyotangazwa na menyekiti wa sensa taifa yanasomeka hivi jumla tuko 44,929,002. Tanzania bara ni 43,625,434 na Tanzania Zanzibar ni 1,303,568. unaweza ukanifollow on facebook kwa maelezo zaidi......................Asante na maandalizi mema ya mwaka 2013
 
Kwani wameweka na mahesabu ya wale waliogoma kuhesabiwa? Mi naona kama mahesabu hayo si sahihi kabisa maana kuna waislamu wengi tu waligoma kuhesabiwa
 
Matokeo yaliyotangazwa na menyekiti wa sensa taifa yanasomeka hivi jumla tuko 44,929,002. Tanzania bara ni 43,625,434 na Tanzania Zanzibar ni 1,303,568. unaweza ukanifollow on facebook kwa maelezo zaidi......................Asante na maandalizi mema ya mwaka 2013
.............. kulingana na mahesabu haya... MAKISIO.... wastani kwa watanzania tunaongezeka watu milion 1 kila mwaka yaani watu wanaozaliwa kila mwezi ni watu 84,000 sawa 2,800 kila siku na sawa na watu 116 kila saa moja na wanazaliwa watu 2 kila dakika moja..... oh! hii ina maana tunakwenda speed kali...... zingatia ni makisio
 
Back
Top Bottom