Matokeo ya kile JK anachokipigia debe

Jk anauza ardhi pamoja na viumbe hai vilivyo juu ya ardhi hiyo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Rais Kikwete amezunguka dunia nzima sasa akipigia debe wawekezeji Wakubwa kuja kuwekeza nchini kwa kile anachodai ni kuongeza uwezo wa kuzalisha chakula. Check Matokeo katika nchi nyingine then pima kama kuna umuhimu wa wewe kukaa kimya wakati jamaa anatudanganya.

About Land Grabbing- Stop Africa Land Grab

Hana lolote jema alilofanya kuboresha maisha ya wananchi wa nchi hii, zaidi ya kwenda kutalii na kwenda kumeza Truvada
 
poor african viongozi wetu ni vichaa kabisa ,Angalia historia ya south africa kitu walichofanyiwa na makaburu ,mimi namchukia sana huyo bwana hana akili kabisaa,heri wangemuacha GADDAFI wakamchukua huyu wetu jamani
 
Rais Kikwete amezunguka dunia nzima sasa akipigia debe wawekezeji Wakubwa kuja kuwekeza nchini kwa kile anachodai ni kuongeza uwezo wa kuzalisha chakula. Check Matokeo katika nchi nyingine then pima kama kuna umuhimu wa wewe kukaa kimya wakati jamaa anatudanganya.

About Land Grabbing- Stop Africa Land Grab

wewe mwenyewe hujatueleza wazo lako baada ya kusoma au mtizamo wako.......haijakaa vizuri
 
Reality ni kuwa nothing new from 2005 up to now than tanzanian citizen to be more poor than before
 
Hana lolote jema alilofanya kuboresha maisha ya wananchi wa nchi hii, zaidi ya kwenda kutalii na kwenda kumeza Truvada

securedownload.png.jpg
 
Back
Top Bottom