Matokeo ya interview utumishi wa umma (nida)

Chloe O'brian

Member
Dec 22, 2010
41
10
JAMANI KUNA YOYOTE MWENYE TAARIFA KUHUSIANA NA MATOKEO YA INTERVIEW ILIYOFANYIKA TAR 28 na 29-MARCH-2011 KURASINI -TIA, ZILE NAFASI ZILIZOTANGAZWA NA UTUMISHI WA UMMA ZIKIWEMO ZA NATIONAL ID's AUTHORITY?

NITAFURAHI NIKIPATA TAARIFA.
 
JAMANI KUNA YOYOTE MWENYE TAARIFA KUHUSIANA NA MATOKEO YA INTERVIEW ILIYOFANYIKA TAR 29-APRIL-2011 KURASINI -TIA, ZILE NAFASI ZILIZOTANGAZWA NA UTUMISHI WA UMMA ZIKIWEMO ZA NATIONAL ID's AUTHORITY?

NITAFURAHI NIKIPATA TAARIFA.

Sina taarifa,lakini hapo kwenye red kuna mushkheri kdg.
 
JAMANI KUNA YOYOTE MWENYE TAARIFA KUHUSIANA NA MATOKEO YA INTERVIEW ILIYOFANYIKA TAR 29-APRIL-2011 KURASINI -TIA, ZILE NAFASI ZILIZOTANGAZWA NA UTUMISHI WA UMMA ZIKIWEMO ZA NATIONAL ID's AUTHORITY?

NITAFURAHI NIKIPATA TAARIFA.

Matokeo ya interview iliyo fanyika Tar 29-april-2011 IFM (witten exam) (round ya mtoano) yalitoka tar 30 aprlil 2011 jumatano kwenye Dar leo na kwenye website ya utumishi ambayo yaliwaelekeza watahiniwa wali bahatika kuingia round ya pili kwenda kwenye oral interview TIA-Kurasini tar 31aprlil 2011 na baada ya interview walisema majibu watatoa baada ya mwezi 1 watatujulisha kama mtu umepata au umekosa, hivyo basi Chloe kama ulikuepo tar 31 April 2011 vuta subira kujulishwa kama umepata au umekosa na kuna taarifa zimelushwa humu JF zina sema hivi nanukuu "Malaysian firm picked to produce national ID" kwa hio inaweza kuwa mwanzo mzuri let us keep waiting
regards
 
Wabongo bana MZAHA TUUUU!
Dada wa watu anaulizia ishu ya maana wenyewe wanajibu jokes na kumtongoza!! JF ya sku hizi porojo nyingi kila jukwaa!!:frusty:
 
Matokeo ya interview iliyo fanyika Tar 29-april-2011 IFM (witten exam) (round ya mtoano) yalitoka tar 30 aprlil 2011 jumatano kwenye Dar leo na kwenye website ya utumishi ambayo yaliwaelekeza watahiniwa wali bahatika kuingia round ya pili kwenda kwenye oral interview TIA-Kurasini tar 31aprlil 2011 na baada ya interview walisema majibu watatoa baada ya mwezi 1 watatujulisha kama mtu umepata au umekosa, hivyo basi Chloe kama ulikuepo tar 31 April 2011 vuta subira kujulishwa kama umepata au umekosa na kuna taarifa zimelushwa humu JF zina sema hivi nanukuu "Malaysian firm picked to produce national ID" kwa hio inaweza kuwa mwanzo mzuri let us keep waiting
regards

Mbona baadhi ya tarehe zinazotajwa hazijafika? Na hiyo 29 Aprili ndo leo
 
Leo ni tar 29 aprl au?
Inamaana hyo interview imefanyika leo na matokeo leo leo?
 
Leo ni tar 29 aprl au?
Inamaana hyo interview imefanyika leo na matokeo leo leo?

du c mchezo mnisamehe wana JF Ni march tafadhari,cjui mawazo yalikua wapi naomba niondoe april kwenye hansard ya Jf tafadhari,nawakilisha
 
Great thinkers umakini unaporomoka kwa kasi sana!!

umakini upo kilichotekea ni kwamba mleta mada alianza kwa kusema imefanyika april,wazo halikuepo kwenye mwez kabisa i thought tuko may,naomba toa april weka march ila contents nyingine zibaki kama zilivyo kwa sababu nina uhakika nazo
 
Naomba isomeke hivi nitaongeza na maneno kdg kwa ruhusa yenu wana Jukwaa "Matokeo ya interview iliyo fanyika Tar 29-March-2011 siku ya Jumanne IFM (written exam) (round ya mtoano) yalitoka tar 30 March 2011 jumatano kwenye Dar leo na kwenye website ya utumishi ambayo yaliwaelekeza watahiniwa walio bahatika kuingia round ya pili kwenda kwenye oral interview TIA-Kurasini tar 31 March 2011 na baada ya interview walisema (wengi wao tuliambiwa) majibu watatoa baada ya mwezi 1 watatujulisha kama mtu umepata au umekosa, hivyo basi Chloe kama ulikuepo tar 31 March 2011 vuta subira kujulishwa kama umepata au umekosa na kuna taarifa zimelushwa humu JF zina sema hivi nanukuu "Malaysian firm picked to produce national ID" kwa hio inaweza kuwa mwanzo mzuri let us keep waiting hopefuly kuanzia juma 3 ya next week,i mean tar 2 May na kuendelea
regards
 
umakini upo kilichotekea ni kwamba mleta mada alianza kwa kusema imefanyika april,wazo halikuepo kwenye mwez kabisa i thought tuko may,naomba toa april weka march ila contents nyingine zibaki kama zilivyo kwa sababu nina uhakika nazo

hiv na zile nafas zilizotangazwa za serikal kupitia u2mish wa umma zilikuwa nying sana,wameshaita interview au bado?
 
JAMANI KUNA YOYOTE MWENYE TAARIFA KUHUSIANA NA MATOKEO YA INTERVIEW ILIYOFANYIKA TAR 28 na 29-MARCH-2011 KURASINI -TIA, ZILE NAFASI ZILIZOTANGAZWA NA UTUMISHI WA UMMA ZIKIWEMO ZA NATIONAL ID's AUTHORITY?

NITAFURAHI NIKIPATA TAARIFA.

Samaha O'brian, badala ya kusoma Thread nimeishia kusoma jina, avatar na sig; nimekupata. Hope umepata jibu lako, nimependa Baba Jose alivyokujibu.
 
Back
Top Bottom