Mgombezi
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 610
- 178
Wana JF
Kumekuwa na post nyingi zinazoeleza juu ya uchakachuaji uliyofanywa na CCM katika uchaguzi huu, sasa tunapoeleza kwamba data hizi si sahihi ingekuwa busara kama tungeonyesha zile ambazo ni sahihi.
Sasa ombi langu hapa jamvini ningeomba kama kuna wana JF walirekodi matokeo ya kituo alichopiga kura tungeomba kuwakilisha kituo kwa kituo, kata kwa kata na hata kujumuisha jimbo na tuweze kupata ulinganifu.