Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

wana UKAWA ushindi upo pale pale, CCM must goooooo
FYI:

Tanzania sio Arusha na Kilimanjaro.

Ushindi wa Rais unakoa mikoa ya Ziwa. SASA KIPIGO CHA KULE NI KUFA MTU. Jifunze siasa kwa facts na sio mihemuko. Muulize Mdee, kwanini bado ana haha kama yeye alikuwa ngangari?
 
Mbunge mpaka sasa ni zitto tu, machali mbali ya kukimbia NCCR na kumfuata zitto ACT amepoteza jimbo jimbo limeenda CCM, zitto hakumpambania kabisa na lazima awe pekee bungeni, kama alivyowapambania kina kafulila wa nccr 2010 akiwa chadema na kusababisha kigoma nzima kubaki peke yake, na sasa kigoma nzima imerudi ccm kasoro kwa zito tu.
 
Kwa hiyo unataka kuniambia ccm huko angani hamdilishi gear mmetingishia free tu ?? Ndio maana hili taifa haliendelei
 
Nimesimamia uchaguz hapa nilipo wino umechafua mikono yangu mpaka inakera....hivi huu wino utachukua muda gan kufutika?au kuna means ya kuuondoa?
Wadau msaada tafadhari

Mbona unaonekana kamanda halafu unaleta mambo ya kicheckbob!! Ni nani asiyejua kulikuwa na zoezi la kupiga kura nchi nzima! Angalaia kidole cha mtu yoyote aliyepiga kura mpaka leo kila mmoja bado ana wino wa kura na hakuna anayelalamika. Ingekuwa mkono umeungua hapo sawa lakini kumbe ni kimada wako amekuambia baby mbona mkono una rangi.
 
Mbunge mpaka sasa ni zitto tu, machali mbali ya kukimbia NCCR na kumfuata zitto ACT amepoteza jimbo jimbo limeenda CCM, zitto hakumpambania kabisa na lazima awe pekee bungeni, kama alivyowapambania kina kafulila wa nccr 2010 akiwa chadema na kusababisha kigoma nzima kubaki peke yake, na sasa kigoma nzima imerudi ccm kasoro kwa zito tu.
Kuna Mwl. wa cdm kamuangusha waziri chiza, hivyo mpaka sasa wabunge wa upinzani kigoma ni wawili, kafulila bado anapambana.
 
Mbunge mpaka sasa ni zitto tu, machali mbali ya kukimbia NCCR na kumfuata zitto ACT amepoteza jimbo jimbo limeenda CCM, zitto hakumpambania kabisa na lazima awe pekee bungeni, kama alivyowapambania kina kafulila wa nccr 2010 akiwa chadema na kusababisha kigoma nzima kubaki peke yake, na sasa kigoma nzima imerudi ccm kasoro kwa zito tu.

Alichofanikiwa Zitto ni kuzigawa kura za NCCR na kuwapa ushindi CCM, bravo Act.
 
Mikoa ambayo Magufuli atamchakaza lowassa...

Tabora
Morogoro
Mwanza
Dodoma
Tanga
Mbeya
Kagera

Arusha ni lowassa lakini sio kwa gape kubwa

Dar ni 50 kwa 50

Haya ndio yale majimbo ya kuamua mshindi.

HATUNYWI SUMU ....HATUJINYONGI...!!
Mkuu ungeiweka hivi: Lowassa ana uhakika wa kushinda mikoa mitatu tu kwa Tanzania bara nayo ni Arusha, Kilimanajaro na Manyara. Na pengine Manyara inaweza kuwa hati hati.
 
Back
Top Bottom