Matokeo Arumeru ya kura za maoni

magistergtz

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
282
56
Hivi TZ hatuna kampuni za kuendesha kura za maoni kabla ya chaguzi?
wadau wenye matokeo ya tafiti za namna hii (opinion polls) watumuvuzishie matokeo basi
 
nilifikiri wewe una matokeo kumbe unaomba wadau ngoja tusubiri.
 
Kura za maoni za arumeru zilizokusanywa na kampuni ya MSAKI COMMUNICATION CENTRE. Yenye makao yake makuu jijini arusha. Mnamo tarehe 25-27/03/2012. Kama kura zingepigwa siku hizo!
Sioi wala simarry wa ccm. Angeibuka kideea kwa kupata 49.53% huku akifuatiwa kwa karibu na Joshua nina sari, wa chadema kwa 31.99% na hizo zilizobakia zingewaendea wagombea wa vyama vingine vya siasa, na wengine walikuwa bado hawajahamua iwapo watapiga kura ama wataacha. Mahojiano hayo yalihojiwa watu 11000.
 
mja hunena muunngwana ni kitendo.Chama Cha Majembe kinajinadi kwa mbwembwe lakini je,sisi vijana wapya wa Chama Dereva Makorongoni tutapata nafas ya kuandikishwa ili tupige kura lini?
 
utafiti wa rai arumeru mashariki
CCM 68%
CHADEMA 28%
hawajaamua 4%
Kawaida responce ya watu kwa kura za maoni ya kitu kama uchaguzi ni function ya advancement in time prior to voting DAY!..Jinsi muda unavyozidi kusonga, watu wanabadilika kutoka uamuzi A, hadi uamuzi B, NA UNAWEZA kuta akarudi tena uamuzi A.
 
umenikumbusha kura za maoni za redet. kosa walilofanya liliwapelekea kukosa ufadhili. tafiti za tanzania ni wizi mtupu sababu magamba yameingilia taasisi za tafiti
 
Tafiti za migomani hizo...subiri j3..Mkifanya ya REDET..ninyi na vikampuni vyenu vya tafiti feki yatawakumba..no ufadhili...wakati wenyewe ni ombaomba ili muendeshe viutafiti visivyoeleweka
.........................
 
Back
Top Bottom