Matibabu ya usafishaji wa damu kwa wenye matatizo ya figo.

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
Habari njema kwa watanzania hususan wenye magonjwa ya figo.Leo tarehe 2.06.2010, Hospitali ya Trauma centre and Well Woman Clinic ilipo masaki inazindua rasmi matibabu ya usafishaji wa damu kwa watu wenye matatizo ya figo,matibabu haya kwa kipindi kirefu yalikuwa ni vigumu kupatikana nchini kutokana na mitambo hiyo kupatikana kwenye Hospital chache sana hapa nchini na kulazimu baadhi ya watanzania kutumia gharama kubwa kwenda nje ya nchi kwa ajili ya matibu hayo.

Ni fursa pekee kwa watanzania kutumia vyema bahati hii kwani mbali na matibabu haya pia kuna huduma na mitambo ya kisasa katika kila idara vikiwemo Digital mammography, Dexa unit ni mtambo pekee Tanzania nzima ambao hupima na kugundua kiasi cha Calcium ,ambayo huimarisha mifupa kwani upungufu wake husababisha maumivu mwilini na hupelekea hata kuvunjika kwa Hip Joint (yaani nyonga kwa Kiswahili).

Watanzania tutembelee Trauma Centre iliyopo Masaki mwisho inatizamana na Coral Beach Hotel.
 
Its good news, nadhani itasaidia wengi hasa wasio na uwezo wa kupeleka ndugu zao nje ya nchi kwa matibabu,
Now i understand the importance of this, "usafishaji wa damu kwa wenye matatizo ya figo" baada ya my blood brother kufariki two months ago kwa tatizo hili, alikuwa akisafisha two times in a week and expenses are too high.
 
Its good news, nadhani itasaidia wengi hasa wasio na uwezo wa kupeleka ndugu zao nje ya nchi kwa matibabu,
Now i understand the importance of this, "usafishaji wa damu kwa wenye matatizo ya figo" baada ya my blood brother kufariki two months ago kwa tatizo hili, alikuwa akisafisha two times in a week and expenses are too high.

hapo kwenye red panatatiza, two times a week? yet he died, do you mean this process is of no use?
imenitisha please nifafanulie
 
hapo kwenye red panatatiza, two times a week? yet he died, do you mean this process is of no use?
imenitisha please nifafanulie

I don't mean the process is of no use, but kwa yeye yaliibuka matatizo mengine ya moyo, blood cell zilikufa( sijui kama kitaaalamu ni lugha yake) hivyo ikapelekea kifo chake, but before those problems alikuwa akitoka kwenye kusafishwa damu, we can even talk na kupiga story kama haumwi vile, but pamoja na juhudi zote anayetoa uhai na kujua siku za mtu ni Mungu.
 
hapo kwenye red panatatiza, two times a week? yet he died, do you mean this process is of no use?
imenitisha please nifafanulie

When your kidneys are healthy, they clean your blood. They also make hormones that keep your bones strong and your blood healthy. When your kidneys fail, you need treatment to replace the work your kidneys used to do. Unless you have a kidney transplant, you will need a treatment called dialysis. The process of cleansing the blood by passing it through a special machine. Dialysis is necessary when the kidneys are not able to filter the blood.

There are two main types of dialysis: hemodialysis and peritoneal dialysis. Both types filter your blood to rid your body of harmful wastes, extra salt and water. Hemodialysis does that with a machine. Peritoneal dialysis uses the lining of your abdomen, called the peritoneal membrane, to filter your blood. Each type has both risks and benefits. They also require that you follow a special diet. Your doctor can help you decide the best type of dialysis for you.
 
Nataka nifungue clinic ya hemodialysis. Nisaidieni mchanganuo mzima na cost zake asanteni MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom