Matege kwa mtoto mdogo

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
312
Mimi ninamtoto na jirani yangu pia anamtoto mchanga, mtoto wake anaonekana kama anamatege hivi, jee anaweza kumtibu kabla mtoto hajakua; mtoto wake anamiezi minne.
Karibuni
 
Huku duniani ukizaa mtoto ana matege,itabidi ujieleza imekuwaje.Watu wa social services waki laison na docter wako wanaweza chukua custody ya mtoto ukamkosa.Kama unafuata maelekezo ya docter it is impossible kuzaa mtoto mwenye matege
 
anaweza kutibiwa ampeleke hospital kwa ushauri zaidi mapema iwezekanavyo
 
Nenda hospitali wanawavalishaga viatu maalum kwa muda fulani na wanapona kabisa!
 
Yeah, Mpeleke kwa daktari.
Nawe mchangiaji unayesema it is impossible kupata mtoto mwenye matege ukifuata ushauri wa daktari umetoa wapi hiyo? Acha uzushi wako.
Mpaka nchi zilizoendelea hili laweza kutokea - kuna causes nyingi za matege ambazo huwezi kusema zimetokana na uzembe wa mzazi. Please kuwa na information (hata kwa ku-google) kabla ya kusema.
 
Punguza jazba mkuu
 
Punguza jazba mkuu
jazba kwa kuwa unadanganya. mi nachukia kweli kweli.
eti
Huku duniani ukizaa mtoto ana matege,itabidi ujieleza imekuwaje.Watu wa social services waki laison na docter wako wanaweza chukua custody ya mtoto ukamkosa.Kama unafuata maelekezo ya docter it is impossible kuzaa mtoto mwenye matege
- ni uongo kabisa huo.
 
sina uhakika sana na hili nilisha sikia tabia ya kumsimamisha mtoto akiwa hajafikia hatua hii husababisha hilo tatizo
 
Hiyo ni kweli kuanza kumsimamisha mtoto kabla mifupa yake ya miguuni haijakomaa vizuri na hasa akiwa overweight inaweza kusababisha matege kwa mtoto!!
 
Back
Top Bottom