Matayarisho ya LONDON OLYMPIC 2012, Watanzania wako wapi????

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Nov 21, 2007
2,961
2,138
Niko natazama mashindano ya riadha ya International Association of Athletics Federations (IAAF) yanayofanyika huko Monaco muda huu. Nawaona wanariadha wa Kenya, Africa Kusini, Nigrria, Ethiopia nk wanakimbia na kuruka na kushinda. Nakodoa macho sioni popote timu ya Tanzania!!! Wakenya wameshinda meter 1500 na 800. Are we serious na London Olympic??? Wenzetu wanajipima huko Monaco, wanariadha wetu 6 wakisimamiwa na viongozi 20 (ratio ya 1 to 3) wametulia hotelini London wana subiri miujiza ili washinde!!!! Tanzania ni zaidi ya ujuavyo!!!
 
wenzetu wanajua ni nini wanafanya. Mi nafuatilia sana maandalizi ya wenzetu - katika programu ya Olympic games 2012, The Spirit of London - hadi roho inaniuma. Nadhani kuna haja ya kuwa na mipango maalumu yenye kutekelezeka kuhakikisha kuwa tunakuwa na uwakilishi mpana katika michezo husika. China ina wawakilishi wapatao 500 katika michezo hiyo sisi viongozi ndo wanakuwa kama wawakilishi wetu!!!!!
 
Niko natazama mashindano ya riadha ya International Association of Athletics Federations (IAAF) yanayofanyika huko Monaco muda huu. Nawaona wanariadha wa Kenya, Africa Kusini, Nigrria, Ethiopia nk wanakimbia na kuruka na kushinda. Nakodoa macho sioni popote timu ya Tanzania!!! Wakenya wameshinda meter 1500 na 800. Are we serious na London Olympic??? Wenzetu wanajipima huko Monaco, wanariadha wetu 6 wakisimamiwa na viongozi 20 (ratio ya 1 to 3) wametulia hotelini London wana subiri miujiza ili washinde!!!! Tanzania ni zaidi ya ujuavyo!!!

Sio tuu Monaco ... Diamond league zote zilizowahi kufanyika sidhani kama kulishakuwa na mkimbiaji kutoka Tanzania

Siku hizi ni nadra sana tena sana kukuta mashindano ya riadha kuna Mtanzania
 
Kuna jamaa aliaidi kwenye media,wakija na medali yeyote,atachoma vyeti vyake vyote.

Nadhani anaendelea kuomba ivo mda huu.
 
Niko natazama mashindano ya riadha ya International Association of Athletics Federations (IAAF) yanayofanyika huko Monaco muda huu. Nawaona wanariadha wa Kenya, Africa Kusini, Nigrria, Ethiopia nk wanakimbia na kuruka na kushinda. Nakodoa macho sioni popote timu ya Tanzania!!! Wakenya wameshinda meter 1500 na 800. Are we serious na London Olympic??? Wenzetu wanajipima huko Monaco, wanariadha wetu 6 wakisimamiwa na viongozi 20 (ratio ya 1 to 3) wametulia hotelini London wana subiri miujiza ili washinde!!!! Tanzania ni zaidi ya ujuavyo!!!

Mama Mdogo, wala usiumize kichwa chako kuwafikiri hao watalii wetu. Wapo wanatalii tu huku, nimewaona juzi kati na matraksuit yao, mkuu wa msafara na makocha wameanza kutoka vitambi kwa hela zenu WADANGANYIKA. Tanzania zaidi ya uijuavyo
 
bi mdogo you have point, ule bosi wa olimpic alijikanyaga kanyaga kwenye vyombovya habari, anaonyesha dhahiri ana ana tumia ofisi yake isivyo,
 
meh-vflQF1ybI.png

This video has been removed by the user.

Sorry about that.
 
Kuna jamaa aliaidi kwenye media,wakija na medali yeyote,atachoma vyeti vyake vyote.

Nadhani anaendelea kuomba ivo mda huu.

anaitwa wilhelm gidabuday anamtuhumu filbert bayi kwa kufisadi pesa za olimpiki pia alikuwa anapinga kitendo cha bayi kuweka kambi za timu za olimpiki shuleni kwake kibaha
 
Back
Top Bottom