mwanamasala
JF-Expert Member
- Jun 20, 2009
- 248
- 12
Kuna Watanzania wanaanzisha matawi ya CCM nchini UK ,miji ya Reading,Birmingham,Southampton ,London na Manchester.
Cha kushangaza sijui wanapata muda upi wa kuchezea,na je hizi ofisi nani anazi fund kwa ajili ya kuendesha shughuli hizi za kichama.Isiwe wanachotewa hela za walipa kodi wa Tanzania.Wanavaa hata magwanda ya kijani na njano!u cant believe mtu wa Ulaya ku behave hivi ,nafikiri wengi wao may be wanataka kugombea chochote warudipo tanzania.Bado wana uswahili wa kibongo,most of them hata kiingereza hawawezi kuongea vizuri japo wapo kwa muda hapa!
Kwa habari zaidi,google CCM london then utapata website yao.