Matatizo yakuhamahama

ikuuee

Member
Oct 2, 2012
25
9
Wana JF naomba kwa anayejua sehemu wanatengeneza dreads vizuri kwa maeneo ya posta au ilala kwa ujumla. nlikua naishi wilaya ya kinondoni (Sinza) sasa nimehamia ilala (posta) ila napata shida kupata baadhi ya huduma kwa sababu sijui pakuzipata kwa upande wa ilala wakati mwingine inanilazimu kwenda Sinza coz sijui pengine pakuzipata. ila naamini hata ilala zipo. kwa sasa nataka kujua saloon za dreads zilizopo ilala.
 
Mimi nanyoa kipara..Hata sijui huduma hiyo yatolewa wapi..

Ngoja lakini JF ni jungu kuu lisilokosa ukoko kamwe..
 
Wana JF naomba kwa anayejua sehemu wanatengeneza dreads vizuri kwa maeneo ya posta au ilala kwa ujumla. nlikua naishi wilaya ya kinondoni (Sinza) sasa nimehamia ilala (posta) ila napata shida kupata baadhi ya huduma kwa sababu sijui pakuzipata kwa upande wa ilala wakati mwingine inanilazimu kwenda Sinza coz sijui pengine pakuzipata. ila naamini hata ilala zipo. kwa sasa nataka kujua saloon za dreads zilizopo ilala.
Nenda pale BM, Kinondoni ila uwe kamili kamili kweli kwa sababu dreads za ukwee its expensive to maintain!.
P.
 
::
ikuuee
Kweli kuhama kuna changamoto zake,
Endelea tu kudadisi utapata.
I miss you
=
 
Last edited by a moderator:
Ucjali mamii kuna saloon very simple and cheap inaitwa WAILERS DREAD LOCKS ipo mwananyamala A opposite na hospitali ukitaka kuifahamu zaidi nipm

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Thanks alot smillin gal. will find you.
Ucjali mamii kuna saloon very simple and cheap inaitwa WAILERS DREAD LOCKS ipo mwananyamala A opposite na hospitali ukitaka kuifahamu zaidi nipm

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
kama unao ujanja na ushujaa wa kuishi ilala lazima ujue hayo makitu yanapopatikana.
 
Ucjali mamii kuna saloon very simple and cheap inaitwa WAILERS DREAD LOCKS ipo mwananyamala A opposite na hospitali ukitaka kuifahamu zaidi nipm

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
mwananyamala A ipo ilala au posta?
mimi siijui dar vizuri
 
Back
Top Bottom