Matapeli wa ajira na Scam Jobs

geofmwemezi

Member
Mar 21, 2013
12
1
Habari wanaJF?

Natanguliza pole kwa fighters wa ajira ambao mpaka sasa hawajapata ajira! Hali ni mbaya kiasi kwamba imefika hatua ya kuomba kazi nje kbs ya professionals tulizosomea!

Siku hizi kuna kamtindo ka matapeli wasomi wa hapahapa Tz ambao hupost ajira feki kwenye mitandao mbalimbali ya ajira kwa lengo la kuwatapeli job seekers.

Kuna ndugu yngu ka apply kazi flani na baada ya kama cku tatu kapokea msg hii hapa chini

Hallo, naitwa Alex from FUTURE NGO Dar, tupo kikaoni tunapitia CV za kuinterview for Project officer, your cv is good nataka nikusaidie upate hii kazi if you agree with my terms, salary ni Tshs. 1,200,000/= ukilipwa salary ya kwanza utanipa laki 4. HR Manager nimeshampa mchongo kakubali atakupitisha directly but anataka laki 1 leoleo me nina elfu 75 tu hapa, so tuma sh. Elfu 25 by tigo pesa to 652344012 ili itimie tumpe hiyo laki. By saa 10 jioni uwe umeishatuma, me siwezi ongea now mpaka badae nikitoka kikaoni nitakucheki tena na ndipo utapigiwa simu lini uje for interview.

BEWARE
 
Poleni sana hii sms iko for more than a decade. Ila bado inaliza wengi. Kazi ukiomba ni kusubiiri interview tuu.
 
Watu wawe makini text yenyewe imekaa kiwizi wizi

mie nilimwambia mpaka siku tuje tumvute hizo ko.rodani zake ndio ataacha kutapeli watu
hajawahi kunitumia tena..........................
 
yuko kwenye kikao, kawezaje kutuma tena ujumbe huyu? kaongea na HR saa ngapi tena wakakubaliana?

tumfanye nini mtu huyu TCRA?
 
Makubwa haya...mimi nina kazi..ila juzijuzi zilitoka kazi za usaid hata sijaaply nashangaa natumiwa sms kua huyo mtu kaongea na hr na anataka laki 4 nipate kazi..na mshahara ni laki tisa..nikamjibu kifupi tu
no thank u
 
Hao washezi sana tena nyingi za ivyoi ziko zoomtanzania mi walishanitumiaga hadi walichoka sikuizi wameacha wenyewe uaijelogwa ukawatumia.
Eti MTU from no where akulipie elf 75 jamani vitu vingine vya kujiongeza kidogo tui
 
Akhsante mkuu kwa kunifumbua macho, maana mi ni mgeni na masuala haya na nmekua nkituma maombi ya kazi mala kwa mala.,lkn nashukuru Mungu sijakutana na hilo mm.. Ubarikiwe kwa kutujuza.
 
Back
Top Bottom