Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,201
- 7,237
Haka kabinti ni kazuri sana, nimekuta kameniinbox kwenye acc yangu ya fb kwamba kanataka kuestablish a long lasting relationship with me, kakanipa email address yake ili tuwasiliane, kwa kuanza kakanitumia picha zake, nzuri sana! Baadae kakaniambia kanataka kanipe historia yake, mambo yakawa hivi...kakaniambia baba ake alikua personal adviser wa Rais wa Ivory Coast ila akauawa na rebels kwenye yale machafuko yaliyotokea mwaka 2011 akanitumia na link ili nisome hiyo habari ya machafuko mimi mwenyewe, kakaendelea...eti baba yake alimuachia ela nyingi kwenye a leading bank in England ambapo yeye ndio alikua mentioned kama next of kin, anadai aliachiwa kiasi cha 4.9 million US dollars!!! Kidume nikadata!
Kwa sasa yeye yupo kwenye kambi ya wakimbizi Senegal, na anadai wakimbizi hawako entitled na haki yoyote kwa mujibu wa Sheria za Senegal, sasa anataka atoe zile ela zake ila amepewa masharti kwamba hadi atafute foreign partner ambapo kanichagua mm, akanitumia namba yake ya simu tukaongea fresh tu! Baadae akanitumia email address ya hiyo bank ya England nikawaemail wakanijibu kwamba ni kweli huyu dem ana ela kwenye hiyo bank wakaniomba na namba yangu ya simu wakanipigia tukaongea kabisa! Wakanipa masharti kwamba ili niweze kutoa hiyo ela inabidi niwe na documents nne, 1. death certificate ya baba wa huyo dem, 2. statement of account ambayo huyo baba alipewa na bank kabla hajafariki, 3. Power of Attorney na 4. Affidavit. Huyo dem kashanitumia documents mbili; yaani document ya kwanza na ya pili. Bado documents ya 3 na ya 4 ambazo lazima zitolewe Senegal, huyo dem kanitumia email address na namba za simu za Wakili ambaye yupo Senegal ili niwasiliane nae azidraft hizo document.
Ninachojiuliza ni je, nimeexperience matapeli wengi mtandaoni lakini huyu dem ananichanganya ananifanya nihisi kwamba ni mkweli, manake hajaniomba ela yoyote mpk sasa kama ilivyokawaida ya matapeli wengine, na hajaniomba nidisclose information yangu yoyote inayohusiana na maswala yangu ya kibenki! Nimeshamuemail huyo wakili na ndo nasubiri majibu now, inawezekana huyu dem ni tapeli pia? ushauri please, manake ananipigia simu mara kwa mara kunisalimia, anaelekea kunishawishi kwamba yeye sio tapeli...