Matajiri, Watoto wa Mjini, Wababe na Wafanyabiashara wa Kilimanjaro na Arusha

Nimegundua Watu wa Aina niliyoitaja hapo Juu,Hawajulikani kabisa Hapa Dar es Salaam,sijajua sababu ila nadhani matajiri wa hapa Dar wanapata media Coverage nyingi na pia wanapata connection nyingi mno na Kuwa Mega kama sio Super Rich Kabisa au Maarufu kuliko wa mikoani.

Kwa kuwa wanaaminika na na kujulikana mno huwa wanawafunika wa Mikoani kwa Kila kitu,na hata hawa wa mikoani wakija Hapa Dar huwa wanakosa exposure na kujiamini kabisa.

Leo nawaleta kwenu watu Maarufu,Matajiri,Watoto wa Mjini,ambao wapo Mkoa wa Kilimanjaro hususani Moshi Mjini na Arusha,Naomba wadau wa Mikoa hii wanisaidie kujazia Nyama na Information na kutaja majina Mengine Ambayo yatasaidia kuwapa Exposure Wenzetu Hawa

Karibuni

1.Patrick Ngiloi Ulomi: Mfanyabiashara maarufu mno mikoa Hiyo anamiliki vituo vya Mafuta vya kutosha,Hotel za Kitalii za Kutosha,supermarket za kutosha, na Pia Anamiliki timu ya Mpira wa Miguu iliyoyoko Ligi Daraja la Kwanza Tanzania.
  • Anapendwa Mno
  • Anaheshimika Mno
  • Amesaidia Vijana wengi Ajira
kwa sasa Anaishi Moshi baada ya Kuhama Dar es Salaam

2.Laswai :(Trust Bureau de Change)
Huyu Ni Mfanyabiashara mwingine maarufu mno mkoani kilimanjaro,hayupo social sana ila anajulikana anamiliki hoteli kadhaa za kitalii ikiwemo Kibo Palace,pia akiwa kama Main Importer wa betri za Tiger,Utitiri wa bureau de change(mkumbuke Moshi na Arusha ni miji ya Kitalii)
na biashara nyingine nyingi.
  • Anaheshimika Mno
  • Multi Trade
Anaishi Moshi na Arusha.

3.Philemon Ndesamburo (Retired MP-CDM)
Need to say More?
  • Keys Hotel And Apartments( Moshi,Dar and Arusha)
  • Keys Hotel and apartments (London)
  • Keys Tours and Safaris-hapa Vehicles zote ni VX
  • Kilimanjaro Marathon Host and owner
4.Willy Lucas Tarimo-Snow Crest Original Owner
  • utitiri wa Vituo vya Mafuta
  • Hotel za Kitalii,ikiwemo snowcrest( ina Mgogoro)
  • and other Business.

5. Papa King-Mining
Owner of Triple A Investment.

Update:

6.Sunda: Mining and other Investment

7.Benson :Electronics Internet and Mobile Networks

7. Mrema: Impala Hotels,Ngurdoto Hotel,Naura Springs

8.Mathias Manga: Mining esp.Tanzanite

9.Willy Chambulo..aka Kaburu: Tourism and Hospitality ( Kibo Guides and Hotels)

10.Michael Ngaleku Shirima: Aviation ( Precision Air)

11.Pandit: Tanzanite

12.Kanunga;Tanzanite and Mining

13.Mbise: Hotels and Accomodation

14.Shidollya Tours;Tourism and Hospitality

15.Charles Makoi: Hotels and Hospitality

16.Alex Masawe (*******) tumweke au tumtoe

17.Mawalla Advocate; lawyers and Advocates

18.Gody : Tanzanite and Gemstone

19.Curthbert Swai: Ahsante Tours Moshi

20.Seif : cultural heritage( Vinyago na urembo)

21.samuel Lema (Northen Engineering) (Elerai Construction)

22.Lema (K Vant)

23. Davis Mosha (Delina )

naendelea kuzibadilisha kadri itakavyoonekana,inaonekana Makoi watu wanaona kashachoka,kuna kina Njake sijaona katajwa humu,list ikifika watu 100 wanaoeleweka tunaanza kuwapanga kwa number from baba lao,to upcoming Bilionairs.

Moshi naona mmezubaa wengi hapa ni matajiri wa arusha,siwaoni kina maleko,boisafi na wengineo nashindwa kuwachomeka maana sijui vizuri hali zao kwa sasa...pls update me

Karibuni
Wilfred Tarimo , mtoto wa Marehemu Lucas Tarimo aliyekuwa meya wa kwanza Moshi kukataa mshahara na gari la SErikali, alikata posho ila alikuwa kwaajili ya kutumikia watu.
a.jpeg
aa.jpeg
aaa.jpeg
aaaa.jpeg

Hapo Wilfred Tarimo ndiye ali-tred majuzi akimpa Mwanae Doreen Tarimo[virgin girl] kwenye send-of zawadi ya Nyumba ya ghorofa ya bilioni mbili na nusu, VX Zero kilometre ya milioni 400 na Rav 4 New Model ya 120 milion, wanyonge/maskini wakapiga kelele kweli kwamba ndoa itayumba ila na mumewe SILAYO ila wakashindwa kujua huyu Doreen ndiye meneja wa viwanda vya baba yake na biashara zao, mtoto mwenyewe ana zaidi ya bilioni , ukija kwa mume wa huyu Doreen naye ni Familia Tajiri na ana hela sana na alikuwa anaishi Marekani na walikutana Marekani: Hiyo nyumba hapo taa zinawaka ni nyumbani kwa Wilfred , shanty Town, utaona akiwa parking kwake na picha moja utaona kijana wake akiwa amehitimu chuo kikuu ghali kabisa cha biashara hapo uingereza.
 
Wilfred Tarimo , mtoto wa Marehemu Lucas Tarimo aliyekuwa meya wa kwanza Moshi kukataa mshahara na gari la SErikali, alikata posho ila alikuwa kwaajili ya kutumikia watu.View attachment 2813152View attachment 2813153View attachment 2813154View attachment 2813155
Hapo Wilfred ndiye alitred majuzi akimpa Mwanae Doreen Tarimo kwenye sendof zawadi ya Nyumba ya ghorofa ya bilioni mbili na nusu, VX Zero kilometre ya milioni 400 na Rav 4 New Model ya 120 milion, wanyonge/maskini wakapiga kelele kweli kwamba ndoa itayumba ila na mumewe SILAYO ila wakashindwa kujua huyu Doreen ndiye meneja wa viwanda vya baba yake na biashara zao, mtoto mwenyewe ana zaidi ya bilioni , ukija kwa mume wa huyu Doreen naye ni Familia Tajiri na ana hela sana na alikuwa anaishi Marekani na walikutana Marekani: Hiyo nyumba hapo taa zinawaka ni nyumbani kwa Wilfred , shanty Town, utaona akiwa parking kwake na picha moja utaona kijana wake akiwa amehitimu chuo kikuu ghali kabisa cha biashara hapo uingereza.
Jamaa tajiri

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Ebwana ehh

Ova
 
Si nasikia Willy ni Mwarusha, alikataliwa na Baba yake akawa mtoto wa mtaani huku akiishi na mama yake, baadae akaja kukutana na mmama wa kizungu...ftom there ikabaki story

Nasikia Baba yake alituma Wazee wakamwite Dogo amwombe msamaha...wakakaa kikao wazee wa kiarusha hiyo ni mwaka 2013, sijui walifikia wapi

Pesa ina nguvu sana wazee
Ex boss wangu mzungu kichaaa😀😀😀😀ilaa ana mawe ana ka msemo kake akikufungulia safe box unakufa 😂😂😂😂.
Mimi nilisikia baba n mtumishi wa kanisa takatifu la mitume mjeruman (ni chotara)
 
Wilfred Tarimo , mtoto wa Marehemu Lucas Tarimo aliyekuwa meya wa kwanza Moshi kukataa mshahara na gari la SErikali, alikata posho ila alikuwa kwaajili ya kutumikia watu.View attachment 2813152View attachment 2813153View attachment 2813154View attachment 2813155
Hapo Wilfred ndiye alitred majuzi akimpa Mwanae Doreen Tarimo kwenye sendof zawadi ya Nyumba ya ghorofa ya bilioni mbili na nusu, VX Zero kilometre ya milioni 400 na Rav 4 New Model ya 120 milion, wanyonge/maskini wakapiga kelele kweli kwamba ndoa itayumba ila na mumewe SILAYO ila wakashindwa kujua huyu Doreen ndiye meneja wa viwanda vya baba yake na biashara zao, mtoto mwenyewe ana zaidi ya bilioni , ukija kwa mume wa huyu Doreen naye ni Familia Tajiri na ana hela sana na alikuwa anaishi Marekani na walikutana Marekani: Hiyo nyumba hapo taa zinawaka ni nyumbani kwa Wilfred , shanty Town, utaona akiwa parking kwake na picha moja utaona kijana wake akiwa amehitimu chuo kikuu ghali kabisa cha biashara hapo uingereza.Ais

Wilfred Tarimo , mtoto wa Marehemu Lucas Tarimo aliyekuwa meya wa kwanza Moshi kukataa mshahara na gari la SErikali, alikata posho ila alikuwa kwaajili ya kutumikia watu.View attachment 2813152View attachment 2813153View attachment 2813154View attachment 2813155
Hapo Wilfred ndiye alitred majuzi akimpa Mwanae Doreen Tarimo kwenye sendof zawadi ya Nyumba ya ghorofa ya bilioni mbili na nusu, VX Zero kilometre ya milioni 400 na Rav 4 New Model ya 120 milion, wanyonge/maskini wakapiga kelele kweli kwamba ndoa itayumba ila na mumewe SILAYO ila wakashindwa kujua huyu Doreen ndiye meneja wa viwanda vya baba yake na biashara zao, mtoto mwenyewe ana zaidi ya bilioni , ukija kwa mume wa huyu Doreen naye ni Familia Tajiri na ana hela sana na alikuwa anaishi Marekani na walikutana Marekani: Hiyo nyumba hapo taa zinawaka ni nyumbani kwa Wilfred , shanty Town, utaona akiwa parking kwake na picha moja utaona kijana wake akiwa amehitimu chuo kikuu ghali kabisa cha biashara hapo uingereza.
Ninafurahi sana navyoona mtanzania mwenzangu ametoboa against all odds. Na cha kuongezea anaishi maisha ya kisasa nyumbani kwao. Aisee Mungu amzidishie na ambariki sana. Matajiri wakongo wana maumba Ubelgiji, Ufaransa na Afrika kusini. Wanaona kujenga kwao ni kuchezea hela na hawataki kuishi nyumbani kabisa.
 
Back
Top Bottom