Wadau nachukua nafasi hii kuwatahadharisha wanaotarajia kusoma Masters za Mzumbe ni kimeo tupu mimi nilianza Masters hapo ya Corporate Management duuh! walimu ni kama vile hawajui kitu wakiingia darasani ni stori zisizo husiana na masomo tupu, waliotutangulia nao ni kutoa pesa kwa walimu ili wafanyiwe Dissertation nimeamua kuacha japo nilishalipia ada kiasi bora nikasome MBA ya ESAMI. Mzumbe jipangeni vinginevyo vyuo vingine vitawapiku.