Mastaa wa bongo waipongeza rasimu ya katiba mpya

mr gentleman

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,223
4,679
mastaa.jpg


wasanii wamesema katiba ya sasa imeleta mapinduzi makubwa katika tasnia ya filamu hapa nchini kwa kuweka vipengele ambavyo vimewathamini.

"Kwetu ni jambo kubwa kuona serikali yetu imeanza kutambua mchango wetu kwa kuweka vipengele katika Rasimu Mpya ya Katiba hii inaonyesha ni jinsi gani tutaweza kupata mafanikio pia itatuwezesha kupambana na wezi wa kazi zetu na kutuongezea kipato," alisema Flora Mvungi, mmoja wa wasanii hao.
 
Ndo maana CCM inaendeleza mfumo mbovu wa elimu, maana wajinga wengi hawajitambuwi wala maslahi yao yanajengwa katika misingigani.

Hakuna Uwazi wala uwajibikaji sijuwi hayo mazuri watayapataje wakati uwazi na uwajibikaji vimetolewa. Tatizo la ufaham hawajuwi wanatetea nini.
 
wasanii watembea uchi na kuimba matusi ndo wanaisifia katiba mfu ya hawala wao ccm,wao hawawaangalii wenzao vijijini kwa vile wameonjeshwa wanahisi nchi hii watu wote ni kama wao ..njaa mbaya sana
 
mastaa.jpg


wasanii wamesema katiba ya sasa imeleta mapinduzi makubwa katika tasnia ya filamu hapa nchini kwa kuweka vipengele ambavyo vimewathamini.

“Kwetu ni jambo kubwa kuona serikali yetu imeanza kutambua mchango wetu kwa kuweka vipengele katika Rasimu Mpya ya Katiba hii inaonyesha ni jinsi gani tutaweza kupata mafanikio pia itatuwezesha kupambana na wezi wa kazi zetu na kutuongezea kipato,” alisema Flora Mvungi, mmoja wa wasanii hao.

hivi kuna msanii wa bongo iwe muvi au music ambae ana uwezo wa kupima uzuri au ubaya wa katiba? i mean kusoma na kuielewa katiba.
 
Waambieni wasome ibara ya 20 kifungu kidogo cha 2 kwenye hiyo sura waliosema imekidhi matakwa yao…!! Kwa ninavyoijua ccm watatumia wasanii kuipigia chapuo katiba yao…!!!!
 
hawajielewi wasanii,hivi walijuaje uzuri wa katiba na kuisifia siku ya ufunguzi na kuitolea hutuba wakati katiba ndiyo kwanza ilikuwa ikizinduliwa na rais,kama hawajafanya unafiki Wasije kulalamika tena.
 
wasanii au baadhi ya wasanii ?
hivi mr 2 nae ni msanii mbona hajaharisha kama hao wapuuzi
 
hivi kuna msanii wa bongo iwe muvi au music ambae ana uwezo wa kupima uzuri au ubaya wa katiba? i mean kusoma na kuielewa katiba.
Ikiwa tu hata hao wajumbe waliopiga kura kuipitisha wengi wao hata hawajui Maudhui yake. Itakuwa hao wasanii!!! Kinachofanyika sasa hakuna tofauti na enzi hizo Mababu zetu kubadilishana na Wazungu Gololi kwa Dhahabu/Almas. Japo kwasasa ni sisi wenyewe Bila mzungu
 
Hopeless! Nimesubili TAMWA nao waendelee na ngojera zao za 50/50...jamaa wanatoa mkono wa kulia wanachukulia mkono wa kushoto...
 
Hao nao watakuwa wasanii? Waganga njaa wakubwa kazi kujipendekeza tu!
 
View attachment 192414

Wasanii wenyewe ndio hawa unategemea watapingana na hiyo katiba ya CCM.maana wanaishia kusema katiba ni nzuri kwa wasanii lakini hawajui hata ni ibara zipi zilizopo ambazo ni nzuri kwao
 
Wafu wanakokotana....Watakalia kulamba ma.ka.li.o ya CCM wakati CCM ikiendelea kunyonya mbu.nye zao. Wanamsifia basha wao CCM ili wapate fursa ya kwenda kutangaza utalii Marekani. Yaani kazi kweli kweli.....Shame on you MASANII...
 
Back
Top Bottom