"massanja mkandamizaji" kujiita ameokoka tena mchungaji mtarajiwa!!!

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Mchekashaji huyu ambaye amepata kibali kwa watanzania hasa wapenda comedy origino amekuwa akijiita AMEOKOKA tena MCHUNGAJI MTARAJIWA. Lakini matendo yake hayaendani kweli na watu hao, jana katika page yake ya facebook amejiweka picha yake akiwa anakunywa ulanzi na akaandika ulanzi.com. Katika comment ambazo fans wake walicomment, baaadhi yao walionekana wakishaangaa na kusitushwa na picha ana maneno yale.Kiuhalisia Massanja hajaokoka (mtazamo wangu) nikutokana na baadhi ya mambo anayoyafanya hayaendani na hao waliookoka, ctukatai kufurahisha jamii kwa njia ya sanaa ya vichekesho lakini anapojiita ni mchungaji mtarajiwa au ameokoka basi sanaa yake itumike kuelimisha jamii katika maadili ya kikristo kweli. Anachafua uhalisia wa dini ya kikriisto.
 
Attachments

  • =jhvfcfcj.jpg
    =jhvfcfcj.jpg
    44.8 KB · Views: 611
Huyu Masanja anamjaribu Mungu, imeandikwa "Usimjaribu bwana Mungu wako"
 
Mchekashaji huyu ambaye amepata kibali kwa watanzania hasa wapenda comedy origino amekuwa akijiita AMEOKOKA tena MCHUNGAJI MTARAJIWA. Lakini matendo yake hayaendani kweli na watu hao, jana katika page yake ya facebook amejiweka picha yake akiwa anakunywa ulanzi na akaandika ulanzi.com. Katika comment ambazo fans wake walicomment, baaadhi yao walionekana wakishaangaa na kusitushwa na picha ana maneno yale.Kiuhalisia Massanja hajaokoka (mtazamo wangu) nikutokana na baadhi ya mambo anayoyafanya hayaendani na hao waliookoka, ctukatai kufurahisha jamii kwa njia ya sanaa ya vichekesho lakini anapojiita ni mchungaji mtarajiwa au ameokoka basi sanaa yake itumike kuelimisha jamii katika maadili ya kikristo kweli. Anachafua uhalisia wa dini ya kikriisto.
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako,ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.
 
Kwani ameshapata tatizo gani hata aokoke?
 
Kwani mvinyo ni pombe au sio pombe? ... maana umenywewa sana kitabuni.
 
Huyo proffessional yake msanii bwana, what do you expect more. Kama kweli ameokoka angeacha hiyo kama maana hakuna masihara na kwenye mambo ya mungu.
 
Tutegemee kuwa mchungaji/mwimbaji wa nyimbo za injili mlevi?
 
Umeshasema huyu bwana ni msanii. Unao uhakika gani kama kweli alikunywa hapo? Au kuweka kopo hilo mdomoni ndio kunywa ulanzi? Unajuaje labda kukiwekwa maji lakini ilibidi asanii kama ulanzi? Kuna watu wanakunywa ulanzi kama kinywaji cha kawaida tu aftrerall. Si vema kuhukumu kabla ya kujiridhisha beyond reasonable doubt. Msanii mara ngapi anaonyesha anaua lakini kumbe hakuna mauaji yoyote? Ndio maana ni msanii. Mwachie Mungu anajua namna ya kumhukumu Masanja. Unaweza kuhukumu hivyo na kibao kikakugeukia, naye huyo akapeta kila kona kama Airtel. Binadanu tunayo haraka kuwahukumu wengine, nasie tukibeba dhambi ambazo hazitamkiki. Dhambi sio moja tu duniani. Kwani huo ulanzi huchachushwa?
 
Ulokole wa .com ni hatari mara anywe ulanzi mara akatomase kale kambilikimo kwenye ule wimbo juzi alikuwa amealikwa kwenye mashindano ya urembo mwanza. anahitaji maombi
 
yes yaani umeniwakilisha katika suala hili...hatutakiwi kuhukumiana, hiyo sio kazi yetu ni ya kwake Mungu ndio ana hako hiyo...
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako,ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.
 
Tutegemee kuwa mchungaji/mwimbaji wa nyimbo za injili mlevi?

Tatizo ni upotoshaji unaofanywa na baadhi ya walokole kudai kuwa kunywa pombe ni dhambi. Wakiwa wanajua hilo wachungaji wengi wanakunywa kisirisiri na wala sio dhambi. DHAMBI ZIMEORODHESHWA nazo ni kumi. Kama kuna ya kumi na moja ya kunywa pombe ,na tuambiwe mara moja.

Soma hizi hapa orignal version na ufafanuzi kidogo tu umetolewa. Ukifanya kazi siku ya Saba ya wiki ni "DHAMBI"

[SIZE=+1] I am the Lord thy God[/SIZE] [SIZE=+1],
who have brought thee out of the land of Egypt (Mizrahim), out of the house of bondage. [/SIZE]

[SIZE=+1]Thou shalt not have strange gods before me[/SIZE]
[SIZE=+1]Thou shalt not make for thyself any graven image[/SIZE]

[SIZE=+1]Thou shalt not take the name of the Lord thy God in vain[/SIZE] [SIZE=+1];
for the Lord will not hold him guiltless that takes his name in vain.[/SIZE]

[SIZE=+1]Remember to keep holy the sabbath day[/SIZE] [SIZE=+1];
six days shalt thou labor, and do all thy work; but the seventh day is a sabbath, that is, the rest of the Lord thy God. Thou shalt not do any work therein, thou, nor thy son, nor thy daughter, nor thy manservant, nor thy maidservant, nor thy ox, nor thy ass, nor any of thy beasts, nor the stranger that is within thy gates; that thy manservant and thy maidservant may rest, even as thyself. Remember that thou also didst serve in Egypt, and the Lord thy God brought thee out from thence with a strong hand, and a stretched out arm. Therefore hath he commanded thee that thou shouldst observe the sabbath day. [/SIZE]

[SIZE=+1]Honour thy father and mother
[SIZE=+1] that thy days be long in the land which the Lord gives thee. [/SIZE]

[SIZE=+1]Thou shalt not kill.[/SIZE]

[SIZE=+1]Thou shalt not commit adultery.[/SIZE]

[SIZE=+1]Thou shalt not steal.[/SIZE]

[SIZE=+1]Thou shalt not bear false witness against thy neighbor.[/SIZE]

[SIZE=+1]Thou shalt not covet thy neighbor's wife.[/SIZE]
[SIZE=+1]Thou shalt not covet thy neighbor's (goods)[/SIZE][/SIZE]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom