nsanzu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,478
- 4,990
Kuchangiwa kivipi? Unahisi pesa yake imeisha?Mkuu sasa inakuaje mtu kama Prof J alikua mbunge kisha baada ya Ubunge Keisha kabaki kuchangiwa?
Kuchangiwa kivipi? Unahisi pesa yake imeisha?Mkuu sasa inakuaje mtu kama Prof J alikua mbunge kisha baada ya Ubunge Keisha kabaki kuchangiwa?
Bil 2 kama mkopo ndio maana wanaiba kura kuendelea kusaliq kwa awamu angalau 3 ...Kuna watu wanapotosha baadhi ya vitu
Mshahara ni mil3.8
Pesa ya mfuko wa jimbo ni mil 8...
Posho ya kikao ni laki 360(Sitting allowance 240, pesa ya Malazi ni 120)
Mafuta ya gari kwa mwezi ni lita 1000
Bima ya afya kubwa
Diplomatic Passport
Kiinua mgongo baada ya 5 years ni 264mil baada ya kodi
Nikikumbuka mengine nitayaleta ila anaweza kuchukua mkopo mpaka bil 2 kwa dhamana ya ubunge wake
Sasa hawa ndio wanaila nchi. Mafuta si wajinunulie kwa mishahara yao..Kuna watu wanapotosha baadhi ya vitu
Mshahara ni mil3.8
Pesa ya mfuko wa jimbo ni mil 8...
Posho ya kikao ni laki 360(Sitting allowance 240, pesa ya Malazi ni 120)
Mafuta ya gari kwa mwezi ni lita 1000
Bima ya afya kubwa
Diplomatic Passport
Kiinua mgongo baada ya 5 years ni 264mil baada ya kodi
Nikikumbuka mengine nitayaleta ila anaweza kuchukua mkopo mpaka bil 2 kwa dhamana ya ubunge wake
Na hapo dhamana sio mali zake ila ofisi za bunge ndiye mdhamini wakeBil 2 kama mkopo ndio maana wanaiba kura kuendelea kusaliq kwa awamu angalau 3 ...
Maana kwa term moja(miaka 5) hawezi kuridisha bil 2 .
Unaambiwa anaweza kukopa mpaka bil 2 kwa dhamana ya ubunge wake,, wewe unasema salary slip ya 3.8M.. Hivi huwa hamsomi mpaka mwisho au?Mshahara wa Mbunge 3.8 milioni? Acha utani!!! Hivi unadhani ingekua hivyo Sugu angepata wapi nguvu ya Kujenga Ile hotel yake? Maana mshahara wa 3.8m (salary slip) unatumia kukopa kiasi gan?
Ukiwa mjengon makahaba nao wanadai chaoMkuu sasa inakuaje mtu kama Prof J alikua mbunge kisha baada ya Ubunge Keisha kabaki kuchangiwa?
Benki ipi itamkopesha mtu 2bn kwenye salary slip anapokea 3.8m Kwa mwezi?Unaambiwa anaweza kukopa mpaka bil 2 kwa dhamana ya ubunge wake,, wewe unasema salary slip ya 3.8M.. Hivi huwa hamsomi mpaka mwisho au?
Waheshimiwa wanalamba mkopo 2billion Ila Leo hii Lissu ana Njaa ajabu kama vile hakuwahi kuwa MbungeBenki ipi itamkopesha mtu 2bn kwenye salary slip anapokea 3.8m Kwa mwezi?
Rushwa imeisha?Pesa zinazopita kwenye njia Yao ni nyingi kwahyo ukiwanyima baadhi ya maslahi ndo chanzo cha rushwa uanza
Rushwa imeisha?
Yaani 30litres per day? Mbona kidogo sana kwa yale ma v8, waongezewe iwe 100 per day. Mshahara wawaongezee angalau iwe 30m per month. Kiinua mgongo baada ya kugonga meza miaka mitano, kiwe angalau trilioni moja.Kuna watu wanapotosha baadhi ya vitu