Josephine03
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 752
- 302
Ningekuwa ndo mimi huyu prof ningefanya maamuzi magumu ya kuhamia CDM. Nafikiri hana sauti wala maamuzi kwenye chama chake sababu hata ile aibu alioionyesha yule mama aliyegombea nafikiri ni uzembe wa chama kutotumia wasomi katika kufanya maamuzi maana kama walijua anaweakness ya Lugha wangejitolea kumwandikia good speach ya kujitoa ambayo angekremisha kwa usiku mzima akatoka na kitu kizuri kuliko kuboronga na kubaki kuwa reference kwa vizazi vilivyopo na vijavyo