Maskini CCM

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
5zppnn.jpg

Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwaongoza wanachama wapya wa CCM kutoka katika vyuo mbalimbali Mkoani Iringa kula kiapo cha utii kwa chama Cha mapinduzi muda mfupi kabla ya kuwahutubia viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana katika eneo la Ihemi nje kidogo ya mji wa Iringa.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti UVCCM Beno Malisa na kulia ni Katibu Mkuu wa UVCCM Bwana Shigela.

Picha na Mjengwa
 
Hivi ina maana na huyu shigela naye ni kijana? Tukitumia applied standards zilizomng'oa Masauni
 
Hiyo Jezi ya Mwenyekiti nadhani fundi wake ni yule anayeshona za CHADEMA!!!

mbowefb.jpg

zitttoob.jpg
 
Hiyo Jezi ya Mwenyekiti nadhani fundi wake ni yule anayeshona za CHADEMA!!!
CCM hawana chochote original. Kila kitu ni kuiga tu. Wameiga uchangiaji wa SMS na pia wameiga matumizi ya hilikopta.
 
Mpaka ilipofikia sasa CCM tayari imesha sambaratika na ni fedhea sana kwa Mkulu
 
Hiyo Jezi ya Mwenyekiti nadhani fundi wake ni yule anayeshona za CHADEMA!!!
Hapana............Hizo ni sare zinazovaliwa na UVCCM tangu enzi zileeeeee za mwalimu..........Kipindi hicho UVCCM wanakimbiza mwenge wa uhuru,,,,,,,Hawajaiga wala nini
 
Kweli ushkaji gharama huyu Beno malisa leo hii anashika nyazifa kubwa kwa sababu ya ushakaji na Ridhiwani tokea pale mlimani duh
 
.
Hizo ndio zinaitwa connection, pale mlimani kwani alijua mkulu atatinga magogoni?. They were friends, mbona kijana ni mtu wa watu kama aliyo babaye?.
Connections ni kuona mbali, kwa kupanga malengo na kujadili utekelezaji, kwa Benno hapo UV-CCM ni njia tuu ya kufikia kule anakotaka kwenda.

Nchi huwa zinaendeshwa na mastrategist wa aina hii. JK alipopigwa paranja 2005 na Ben kuibuka, alicry foul, badala ya kulia lia, akaweka aliance na EL na kofocus 2005, na kila alionyesha kuwa tishio, kilimkuta cha kumkuta kwa kutumia kila silaha including photo shop. Hatimaye ametinga magogoni. Hivyo ndivyo afanyavyo mwana wa nyoka, lazima aunde timu ya "The Winning Coalition" na huwezi kuplay front, hivyo lazima atawahitaji sana watu kama kina Benno, marafiki ambao umetoka nao mbali, you know them and you can trust.

Hata kina Mwanakijiji na CCJ yao, lazima wapange malengo, waje na workable strategies, watengeneze the winning coalition, wajadili utekelezaji, wahit the target, ndipo washinde.

Binafsi nawaadmire sana mastrategist kama hao, regardless wako chama gani, sio wakupuuzwa, wana uwezo wa kufanya mambo na sasa wamethibitisha uwezo huo.
 
Naona unajaribu ku-endorse, kupamba na kuzipaka rangi ghilba na 'ujanja ujanja' BILA HAYA. Halafu mkivuna ubua mnabaki kushangaa na kuulizana. Typical oxymoronism like seriousJOKERS.lol
 
Lini????..............................hahaaaaaaaaaaaaaaaa

CCM will never die overnight, it will be perishing slowly. And it is in the process of perishing!! Kwa mimi mzee wa miaka 68 pengine sitakuwepo, ninyi vijana mtayathibitisha haya.
 
Hapana............Hizo ni sare zinazovaliwa na UVCCM tangu enzi zileeeeee za mwalimu..........Kipindi hicho UVCCM wanakimbiza mwenge wa uhuru,,,,,,,Hawajaiga wala nini

Umefanya vizuri kuwakumbusha wengi humu watoto hawayajui!!
 
Back
Top Bottom