Mashujaa Wetu: FMES versus Kuhani Mkuu

Bubu,

Mbona sasa unataka kuharibu uhondo? siye tumechoka Ku-Ballalishwa kila kona for the past 4 days! kwa nini basi tusianze kuji-entertain na kuanza kupanga bongo zetu upya huku tunasubiri Kikao cha CC na NEC wiki ijayo kabla ya Bunge Juni?

No country for old men and there will be blood ;)
 
There will always be a country for Bravemen...:)
 
Mimi navuta kiti na popcorn za Iowa nacheki tu nani atakuwa mshindi.....Si unajua stelingi hafi.....
 
Ili mpambano uwe fair inabidi wapambanaji wawe na uzito unaolingana, sasa hawa jamaa itakuwa kaazi maana itabidi mmoja apunguze uzito na mwingine aongeze uzito kwelikweli ili walau walingane ndio ngumi zianze, vinginevyo kuna hatari ya msiba kutokea, tukaanza posti za RIP marehemu!
 
Let the fight begin. Tunatafuta shujaa mpya!

.... and all this is because of Balali's Saga..... !!
.... and Balali's issue is because of EPA thing......!!
.... And the winner...is,
.... is,

Shujaa wa kweli atawataja hadharani wezi na mafisadi wa kizazi hiki cha Kikwete na Mkapa! Na atahakikisha wanaburuzwa mahakamani..na kupata stahili yao.

Shujaa wa kweli hataujua usingizi, wala maji ya kunywa wachilia mbali chakula... mpaka kimeeleweka....!

Ushujaa ni kuwachana na waliokufa?? au hata wanaozika wafu wao..??

Ni kuchachamalia ....

UOZO wa Viongozi waliohai...

Maana hii itazuia wengi wao kufa kipuuzi puuzi! na kuleta malumbano hapa JF ya JINSI ....alivyokufa..wapi..nani....hajafa..etc

Na hili litatupa muelekeo thabiti!

Mungu ibariki Tz.
 
Mkulu...unanipa raha ya roho.Lakini malumbano yalikuwa yakusisimua sana,yakamkuna hadi Rev.Kushoka....lakini kwa upande wapili nadhani hatuna haja ya kuwapiganisha mashujaa hawa.Wote ni mashujaa.
 
makuchi hawa, lazima kijulikane nani kidume cha mbegu, maana kuna mtamba anatafutiwa bwana
 
mchungaji umefikwa na nini siku hizi?naona umegeuka kama MUMUNYA....unaharibikia UKUBWANI!!!!!!!!!!

Ahh Shemeji, umerudi? sasa mbona zile Taarabu uliniingiza mjini? Sijaharibikiwa kitu, bado tuko msibani tuna-Ballalishwa hivyo hakuna lolote litakalosikilizwa mpaka hitima imalizike na 40 tugawanyane mali.

Fundi,

FMES kajipatia goli la matuta jana usiku alipotoka kubeba maboksi!
 
hahahaha mchungaji unanichekesha,any way zile taarab sijakuingiza mjini ila majukumu ya maisha yamekuwa makubwa sana.zaidi sijui nikulete kwa njia gani.
 
.... and all this is because of Balali's Saga..... !!
.... and Balali's issue is because of EPA thing......!!
.... And the winner...is,
.... is,

Shujaa wa kweli atawataja hadharani wezi na mafisadi wa kizazi hiki cha Kikwete na Mkapa! Na atahakikisha wanaburuzwa mahakamani..na kupata stahili yao.

Shujaa wa kweli hataujua usingizi, wala maji ya kunywa wachilia mbali chakula... mpaka kimeeleweka....!

Ushujaa ni kuwachana na waliokufa?? au hata wanaozika wafu wao..??

Ni kuchachamalia ....

UOZO wa Viongozi waliohai...

Maana hii itazuia wengi wao kufa kipuuzi puuzi! na kuleta malumbano hapa JF ya JINSI ....alivyokufa..wapi..nani....hajafa..etc

Na hili litatupa muelekeo thabiti!

Mungu ibariki Tz.

Je Shujaa huyo ndio kafika sasa na yu kati yetu?
 
Mkuu kwa heshima na taadhima shujaa KAMWE hawezi kuwa fisadi, muongo, mwizi, mbaguzi, mwenye chuki za kutisha na visasi, mwenye dharau za hali ya juu dhidi ya Watanzania wenzake, mwenye kudharau Bunge, katiba na sheria za nchi. Aliyesukumizwa awe shujaa, mwenye kujichotea pesa hazina bila idhini ya Bunge mwenye kuwatusi wastaafu kisa wamemkosoa tu. Asiyetaka kukosolewa au kushauriwa na asiye heshimu sheria za ajira nchini. Huyo KAMWE hawezi kuwa shujaa bali ni janga kubwa sana la Taifa.

Inasikitisha sana kuona watu wakishangilia udhalimu tunaoona kunajisi utu na haki za watu hata kiburi kuidharaukatiba nakiapo chake!
 
FMES mzee wa Noah makaptula nyc yuko zake jamhuri Street siku hizi baharia wa nchi kavu anakunywa gahawa na wahenga waliosema aliye juu mngoje chini.
 
Back
Top Bottom