Mashujaa Fc kwa huu uchawi wenu kuna timu nyingi sana za ligi kuu zitapoteza mechi Lake Tanganyika Stadium

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,032
Haiwezekani Mbeya City kila wanachokifanya mipira inapaa kama sio kugonga miamba.

Kwa aina hii ya ukamiaji jumlisha na sayansi ya jadi kuna timu kubwa zita-struggle msimu ujao pale katika dimba la Lake Tanganyika.

My take:
Punguzeni usela mavi wenu huku ligi kuu kuna kamera za AzamTv mtapoteana
 
Ulitaka walegee washuke daraja ili wewe utambe na hela za Azam na bank ya NBC kila mwaka?.

Vita ni vita kikubwa ufanikishe lengo.

Yanga aliwapa ofa kabambe mkaichezea kwenye bahari ya Dp World
 
🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom