Inanikera sana tunapo kuwa na wakati mwingi wa kujadili matukio zaidi, badala ya hatma yetu na vizazi vijavyo!
Tumebakia mashoga mashoga sijui ushoga! hee! nyie vipi? wakati maadui wetu wakuu, ujinga, umaskini, maradhi, na ameongezeka adui ufisadi, wanapeta! Kwani hamumkosoi Mungu anayewapa riziki mashoga? Usimcheke kilema wakati uu kijana unazaa! ni wachache wenye ujasiri wa kuwatetea wanyonge kama waziri mkuu wa Uingereza.
Ngojeni siku nanyi.....