Mashine

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
352
Mashine ya kungundua wezi ilijaribiwa marekani & kwingineko.Marekani ndani ya dakika 30 ilinasa wezi 500,zimbabwe dakika 20 wezi laki 20,Kenya dakika 10 wezi Milioni 2.Tanzania ndani ya dakika 5 mashine iliibiwa.
 
Ha ha ha hiyo ndio bongo nayoijua mimi,kuna kampuni ya kijapani-Kajima ilibidi walete cement ambayo hata ukichanganya na maji haigandi mpaka uweke dawa maalum,hii ni baada ya kuibiwa saana.
 
Back
Top Bottom