Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Incubator toka UK zimewasili na tayari zipo sokoni,na bei ni kama zifuatazo: incubator yenye uwezo wa kutotolesha vifaranga 1056 kwa mara moja inaanzia Tshs 2,500,000/= na incubator zenye uwezo wa kutotolesha vifaranga 2000 kwa wakati mmoja zinaanzia Tshs 4,000,000/= bei hizi zina maelewano!

Kwa wenye kuhitaji anaweza kuni PM au kupiga simu kwa number zifuatazo: 0784784634, 0713784634 na 0713670026
 
Kampuni ya AP INCUBATER iliopo Kibaha Pwani iko poa sana mkuu. Piga Simu 0713 839 062 Jina Abdallah ndie fundi mkuu mwenye number hizo!! Ni mafundi na wauzaji wa kubwa wa mashine hizo kwa Muda mrefu!! Kwa maelezo zaidi in PM mkuu
 
Salaam wana JF!!!!! nahitaji mashine kwa ajili ya kutotoleshea vifaranga hivyo basi naombeni mnisaidie wapi na weza pata incubator genuine inayotumia umeme yenye uwezo wa kupack mayai 100-200. Msaada toka kwenu wakuu!

MSUNGU ENG.WORKS tupo DODOMA MJINI.sisi ni watengenezaji wa automatic incubator zinazotumia umeme kidogo sana lakini zinatotolesha mayai yote ili mradi yai liwe limerutubishwa najogoo.bei zetu ni-
1- mayai 200 ni tsh laki nane na nusu
2 -mayai 300 ni tsh milioni moja na laki mbili
3 -mayai 600 ni tsh milioni mbili
4 -mayai 1000 ni tsh milioni tatu na nusu
5 -mayai 2500 ni tsh milioni tano
mashine hizi tunazotengeneza ni automatic zina control kiasi cha joto pia zinageuza mayai zenyewe.tunapata wateja hata nje ya mkoa wa DODOMA huwa tunatuma mashine na kuhakikisha umeipata.
kwa mawasiliano zaidi piga simu 0765 442104. au fika ofisi za manispaa ya Dodoma uliza msungu eng.pia tembelea Msungu Engineering Works | Tunatengeneza mashine za kutotolesha mayai aina zote.. karibuni
 
Hamna za bei chin ya hapo?
 
NDUGU wa jf kwa sasa ufugaji kuku umekuwa dili zuri umewatoa kiuchumi watu wengi. si unaona hata hapa jf member wengi wanafurahia kufuga kuku na wanahamasisha wengine tufuge kuku.leo ninawaletea habari njema
MSUNGU ENG.WORKS sisi ni mabingwa na wazoefu wa muda mrefu juu ya utengenezaji wa incubator za kutotolea mayai. mashine zetu ni automatic yani inajiendesha yenyewe kwa ku-control kiasi cha joto pia inageuza mayai yenyewe.mashine hizi zinatumia umeme.bei zetu ni -
1- mayai 200 tshs 850,000/=
2- mayai 300 tshs 1,200,000/=
3- mayai 600 tshs 2,000,000/=
4- mayai 1,000 tshs 3,500,000/=
5- mayai 2,500 tshs 5,000,000/=
hata kama uko nje ya mkoa wa DODOMA usihofu mashine yako --------- mpaka ulipo.unapewa na warrant .
tuna patikana DODOMA MJINI MAILI MBILI. simu 0765 442104. tembelea website yetu Msungu Engineering Works | Tunatengeneza mashine za kutotolesha mayai aina zote. .karibuni sana
 
sasa mkuu hizo incubator zinaanzia mayai 200 tu? Hamna za chini ya hapo? Manake kwangu bei ni kubwa kidogo.
Je vifaranga mnauzaje?
 
mimi natafuta bukini hata vitoto vidogo au mayai ndugu kwa mwenye kujua anipigie urgent mkuu pls ni pm...........
 
Kama una hitaji Mayai kwa Ajiri Kutotoleshea wasiliana nami kwa namba 0764870930, Ilauwe mbeya. Mayai ni Chotara, Pia nitakuapa mafunzo jinsi ya kutotoresha, hata kama huna umeme,pia Nitakupamafunzo ya Kutengezeza Incubator kwa ajiri ya kutotoresha mayai.
 
Wakuu kama una mashine za kuangulia mayai unaweza pata kutoka kwangu.

1. Spare parts zote za incubators

incubator_spare_parts_on_sale_egg_incubator.jpg

2. Trays za kuwekea mayai kwenye mashine

KRC124.jpg

3. Tray za kutotoleshea
hatching-basket.jpg

4. Kufanya repair za mashine mbovu/iliyo haribika
 
1056 Eggs Incubator for sale Brand New!
Brand Name: JD
Chicken Egg Capacity (pcs): 1056
Control model: full automatic
Hatching rate: 96% +
Power: 200W
Warranty: 3 yrs

Characteristics:

Fully Automatic poultry egg incubator.

1,Micro-computer controlled on temperature and humidity;

2,Forced air circuit by 2 fans

3,Automatic egg turning, automatic alarm on temperature & humidity

Free Accessories:
  • 1pc Temperature Heater
  • 1pc Egg Tunning Motor
  • 1pc Egg candel
  • 1pc Humidity Heater
  • 2pcs Limited Switch
Starting Price 3,999,000/= Tshs
Contacts: 0755-571604/0718-106434 Location: Dar es Salaam
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom