poleni na majukumu
wanajamvi. Naomba kuuliza kama kuna ambaye amewahi kutumia mashine za
kutotolea(incubator machines) zinazotengenezwa na kaparata
engineering.je ni nzuri? Ufanisi wake ukoje?
Nmejaribu kutumia za imberuzi nimepata hasara kubwa mno. Nmeweka mayai
300 yametotolewa 60 tu.
Nahitaji mashine nyngne nzuri naomba wenye uzoefu wanielekeze pa
kuzpata.