Mashine za kilimo, ufugaji, nk

Kipilipili

JF-Expert Member
May 25, 2010
2,272
1,883
Agiza mashine hizi na tutazileta mpaka ulipo. Tupo China, Duka lipo magomeni Dsm. Pia unaweza kuagiza chochote kutoka China na tutakufikishia.
1480923951069.png
1480924036749.jpg
1480924058907.jpg
1480924070229.jpg
1480924148107.jpg

*MASHINE ZA KILIMO*
*1. Mashine ya kukatia nyasi/miti/kuvunia mpunga,miwa,mtama,ngano nk*
A. Mashine 35Cc+Jembe 1(Kuvunia/kukatia) =790,000 kwa meli

B. Mashine 35CC+majembe 2 (kukatia/kuvunia +kupalilia)=925,000 kwa meli.
*2. Mashine ya kukatia nyasi/miti/kuvunia mpunga,miwa,mtama,ngano nk*
A. Mashine 37Cc+Jembe 1(Kuvunia/kukatia) =849,000 kwa meli

B. Mashine 37cc+majembe 2 (kukatia/kuvunia +kupalilia)=999,000 kwa meli.

*3. Mashine ya kufyekea nyasi/kuvunia mpunga, miwa, alizeti,mtama,ngano nk*
A. Mashine 52cc + Jembe moja la kufyekea/kuvunia= 949,000 kwa meli.
B. Mashine 52cc+Majembe 2 (Kufyekea+kupalilia)= 1099,000kwa meli.

*4. Mashine Cc62 (Heavy duty) + Majembe 3 (kufyekea, kupalilia, kulimia)* =1249,000 kwa meli.

*5. Mashine ya kuchimbia mashimo (Earth Augur)*
A. Mashine + Dril bit (ukubwa wa shimo) cm 30 =950, 000 kwa meli
B.Mashine +dril bit 20cm=850,000 meli.

*6. Mashine ya kupandia miche ya mpunga*
Bei : 950,000 kwa meli.

*7. Mashine ya kupandia mbegu za nafaka* kama mahindi, maharage, mbaazi kunde nk
799,000 kwa meli.

*MASHINE ZA UFUGAJI*
*8. Mashine ya kunyonyolea kuku* size ya kati (Kg 48)= 1399,000 kwa meli
*9. Mashine ya kutotoleshea mayai (Incubator)* Zinatumia umeme/battery , Ni Automatic huhitaji kugeuza mayai.
Mayai 88= 700,000 kwa meli
Mayai 176= 1,199,000 kwa meli
Mayai 268=1,599,000 kwa meli
Mayai 528=2,399,000 kwa meli
Mayai 880=2,899,000 kwa meli
Mayai 1,056=3,099,000 kwa meli
Mayai 1,232=3,399,000 kwa meli
Mayai 2,112=3,899,000 kwa meli
Mayai 3,168=4899,000 kwa meli

*MASHINE NYINGINEZO*
*10. Mashine ya ice-cream za kijiti/chopstic (lambalamba)*
Bei: 2,599,000/= kwa meli

*11. Mashine ya juice ya miwa*
A.Isiyotumia umeme: 800,000 kwa meli
B. Ya umeme : 1390,000 kwa meli

*12. Mashine ya kukaushia* :Samaki, nyama, matunda na mbogamboga
Kubwa 780,000 kwa meli
Ndogo :680,000 kwa meli.

*13. Mashine za mkono za kushonea* 19,000/=
*14. Mashine za mkono za kupimia uzito* Tsh.18, 000
*15. Printer za kuchapishia picha za keki* Tsh. 849,000 Kwa meli.
*16. 6 in 1 comb heat press machine* (Inaprint fulana, vikombe, sahani, mifuko, kofia nk ) 980,000 kwa meli
*17. Chainsaw (msumeno wa kukatia miti/magogo)*
Yamaha 650,000/= Honda 699,000/= Brand za kichina 599,000/=
*18. Mashine za kubania mifuko ya plastiki na karatasi* kwa wanaoweka bidhaa zao humo kama ubuyu, juice, maji, viungo vya kupikia, keki nk
Kubwa: 55,000/=, ndogo 22,000/=
*19. Mashine ya kukatia/kupunguza line za simu (Simcard)* : 18,000/=
*20. Mashine ya kukatia slice za mikate*
Bei ni 899,000/=

Bei zote za mashine hapo juu zipo katika TSH na Zinapungua TU ikiwa mteja atanunua mashine zaidi ya moja.

*USAFIRISHAJI* : usafiri ni kwa meli tu na huchukua kati ya siku 30-45. Kuanzia sasa tumesitisha kusafirisha mashine hizi kwa njia ya ndege kwa sababu baadhi ya mashine zina urefu usio wa kawaida kuruhusiwa kusafirisha kwa ndege.
Ahsanteni.
*THE BRIDGE*
01.12-2016
*China*
WhatsApp: +8613125094947
Facebook , Instagram : thebridgetz & @thebridgegulio
 
. Mashine ya kukatia nyasi/kuvuniampunga,miwa,mtama,ngano nk

Nataka hii hapa, naomba brand name, speciation, bei nk.
 
ina uimara gn mpk ikauzwa 18000 sababu kuna sehemu mm nimenunua kwa 10000
Hii ni chuma na haishiki kutu . kutofautiana kwa bei ni jambo la kawaida katika biashara itategemea yeye alinunua wapi na amesafirishaje nk. All in all hongera kwa kuipata kwa bei hiyo.
 
. Mashine ya kukatia nyasi/kuvuniampunga,miwa,mtama,ngano nk

Nataka hii hapa, naomba brand name, speciation, bei nk.
brand sipo nyingi Mno , Honda, DSL, Yamaha, Stihl, chinese brand mbali mbali nk. Na zote huwa za ukubwa(cc) tofauti. kila ukubwa una bei yake. Ni ngumu kuorodhesha brand zote moja moja hapa. Nadhani ungesema unahitaji brand gani na yenye Cc ngapi , ingekuwa rahisi sana kutoa majibu. Mfano. brand zenye cc 35 nitaje labda brand 10 kila moja na sifa zake na bei yake, kisha nije zenye cc 42 labda brand 10, kisha nije zenye cc 52 hivyo hivyo .....inakuwa gumu zoezi!
 
Agiza mashine hizi na tutazileta mpaka ulipo. Tupo China, Duka lipo magomeni Dsm. Pia unaweza kuagiza chochote kutoka China na tutakufikishia.View attachment 442845View attachment 442846View attachment 442847View attachment 442848View attachment 442849
*MASHINE ZA KILIMO*
*1. Mashine ya kukatia nyasi/miti/kuvunia mpunga,miwa,mtama,ngano nk*
A. Mashine 35Cc+Jembe 1(Kuvunia/kukatia) =790,000 kwa meli

B. Mashine 35CC+majembe 2 (kukatia/kuvunia +kupalilia)=925,000 kwa meli.
*2. Mashine ya kukatia nyasi/miti/kuvunia mpunga,miwa,mtama,ngano nk*
A. Mashine 37Cc+Jembe 1(Kuvunia/kukatia) =849,000 kwa meli

B. Mashine 37cc+majembe 2 (kukatia/kuvunia +kupalilia)=999,000 kwa meli.

*3. Mashine ya kufyekea nyasi/kuvunia mpunga, miwa, alizeti,mtama,ngano nk*
A. Mashine 52cc + Jembe moja la kufyekea/kuvunia= 949,000 kwa meli.
B. Mashine 52cc+Majembe 2 (Kufyekea+kupalilia)= 1099,000kwa meli.

*4. Mashine Cc62 (Heavy duty) + Majembe 3 (kufyekea, kupalilia, kulimia)* =1249,000 kwa meli.

*5. Mashine ya kuchimbia mashimo (Earth Augur)*
A. Mashine + Dril bit (ukubwa wa shimo) cm 30 =950, 000 kwa meli
B.Mashine +dril bit 20cm=850,000 meli.

*6. Mashine ya kupandia miche ya mpunga*
Bei : 950,000 kwa meli.

*7. Mashine ya kupandia mbegu za nafaka* kama mahindi, maharage, mbaazi kunde nk
799,000 kwa meli.

*MASHINE ZA UFUGAJI*
*8. Mashine ya kunyonyolea kuku* size ya kati (Kg 48)= 1399,000 kwa meli
*9. Mashine ya kutotoleshea mayai (Incubator)* Zinatumia umeme/battery , Ni Automatic huhitaji kugeuza mayai.
Mayai 88= 700,000 kwa meli
Mayai 176= 1,199,000 kwa meli
Mayai 268=1,599,000 kwa meli
Mayai 528=2,399,000 kwa meli
Mayai 880=2,899,000 kwa meli
Mayai 1,056=3,099,000 kwa meli
Mayai 1,232=3,399,000 kwa meli
Mayai 2,112=3,899,000 kwa meli
Mayai 3,168=4899,000 kwa meli

*MASHINE NYINGINEZO*
*10. Mashine ya ice-cream za kijiti/chopstic (lambalamba)*
Bei: 2,599,000/= kwa meli

*11. Mashine ya juice ya miwa*
A.Isiyotumia umeme: 800,000 kwa meli
B. Ya umeme : 1390,000 kwa meli

*12. Mashine ya kukaushia* :Samaki, nyama, matunda na mbogamboga
Kubwa 780,000 kwa meli
Ndogo :680,000 kwa meli.

*13. Mashine za mkono za kushonea* 19,000/=
*14. Mashine za mkono za kupimia uzito* Tsh.18, 000
*15. Printer za kuchapishia picha za keki* Tsh. 849,000 Kwa meli.
*16. 6 in 1 comb heat press machine* (Inaprint fulana, vikombe, sahani, mifuko, kofia nk ) 980,000 kwa meli
*17. Chainsaw (msumeno wa kukatia miti/magogo)*
Yamaha 650,000/= Honda 699,000/= Brand za kichina 599,000/=
*18. Mashine za kubania mifuko ya plastiki na karatasi* kwa wanaoweka bidhaa zao humo kama ubuyu, juice, maji, viungo vya kupikia, keki nk
Kubwa: 55,000/=, ndogo 22,000/=
*19. Mashine ya kukatia/kupunguza line za simu (Simcard)* : 18,000/=
*20. Mashine ya kukatia slice za mikate*
Bei ni 899,000/=

Bei zote za mashine hapo juu zipo katika TSH na Zinapungua TU ikiwa mteja atanunua mashine zaidi ya moja.

*USAFIRISHAJI* : usafiri ni kwa meli tu na huchukua kati ya siku 30-45. Kuanzia sasa tumesitisha kusafirisha mashine hizi kwa njia ya ndege kwa sababu baadhi ya mashine zina urefu usio wa kawaida kuruhusiwa kusafirisha kwa ndege.
Ahsanteni.
*THE BRIDGE*
01.12-2016
*China*
WhatsApp: +8613125094947
Facebook , Instagram : thebridgetz & @thebridgegulio
Naomba kuona picha ya hiyo machine ya mkono ya kupimia uzito.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom