Mashindano ya under 20 za vijana wa timu zilizo ligi kuu

Kachumbi

Member
Aug 26, 2014
70
30
Waandishi wengi hawatoi taarfa kuhusiana na michezo za vijana hawa,kuongelea ata vipaji,namna ya kuwaendeleza,waandishi wa michezo ni wakwanza kulalamika kuwa timu zetu haziwekezi kwenye soka la vijana,angalia wanavyopewa promo ndogo,hawatiwi moyo na waandishi wetu,waandishi badirikeni musiwe watu wa kuongea pale mambo yanapoaribika.Tumia kalamu zenu kuhamasisha ili vijana hawa waendelezwe,na kuongelea vipaji vivyoonekana ,kalamu zenu zinaweza kuwa chachu ya kuonekana kwa hawa vijana na kuuzwa kwa vijana hawa.
 
Acha tu hiyo, leo Radio One hawajagusia kabisa habari ya nusu fainali ya U20, Simba na Stand United, wala kuweka uzito kwenye habari kuhusu hukumu ya kesi ya Kessy. Kwao hayo sio matukio ya maana kuripotiwa. Mimi nilidhani hapa ingekuwa ni taarifa ya maana na waandishi wangetumia kufundisha nini lilikuwa tatizo na tunajirekebisha vipi siku zijazo?

Something is wrong somwehere kwa waandishi wetu wa habari za michezo
 
Back
Top Bottom