Motowntzjpm
Senior Member
- Jun 16, 2023
- 118
- 191
Usiku wa Kuamkia leo kulikuwa na Mashindano ya Pool World Cup. Watanzania wangapi tulijuwa hayo. Mashindano yalifanyika Spain. Fainali Philipines dhidi ya Ujerumani. wafilipino waliibuka washindi 11-7.
Nimeuliza wangapi walifahamu na lilikuwa live DSTV channel 225.
Tusibiri tuone Kitenge Sports wakitujuza.
Kwa Taifa linalojitutumua na kupenda michezo ni dhahiri tunapenda Simba na Yanga tu
Hayo mengine hatuna habari nazo. Sasa nauliza millioni 61 lakini hatumo kwenye hockey, volleyball, riadha, basketball, table lawn tennis hata Pool jamani ambacho kila bar ina pool table